Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachekesha..[emoji23]
 
Hizi nchi zote zilivote in favour of Russia plus wenye walikata kuvote zote Ni SHITHOLE,
Kitu kingine Ni hakuna nchi Ni DEVELOPED pia.
Ujinga tu.
 
Mganangwa alipokuja bongo kuna alisema apelekwe huko kaole bagamoyo ilikua training camp yao . Sema watu wa historia waweke vizuri ni source ya utalii .

Ila wakunya jifunzeni utu , nakumbuka kwenye speech ya former president Kikwete kwenye mazishi aliposema Mandela na freedom fighters wengi wa south Africa walikua wanatumia passport ya Tanzania kusafilia .

Akasema Mzee Thabo mbeki sijui kama umerudisha ya kwako . Means hata putin anaweza kua alikua huko kaole kwa majina fake . It's very possible . Hata Museveni alikua na majina mengine kipindi hicho .

Sema mzee nyerere alijenga heshima sana kwenye misimamo . Ndio maana hata wakina che guavera walikuja bongo kipindi hicho
 
Kwani Nini mbaya? Si uoneshe escalator kwenye bus terminals kunako Kunyaland!
 
Onesha ya Kunyaland au hamna wanafunzi Russia?
 
Ukraine: the friends of Kunyaland

Tony254


Nigeria voted in favor of Ukraine!
Wakenya na wanaijaa Ndio watajua hawajui sisi wanafunzi wetu wanachukuliwa na wanajeshi wa urusi hawalipi hata senti moja sasa hawa waliomuunga mkono mmarekani wataisoma namba na wanavyowabaguaa wanafunzi waafrika
 
Hizi nchi zote zilivote in favour of Russia plus wenye walikata kuvote zote Ni SHITHOLE,
Kitu kingine Ni hakuna nchi Ni DEVELOPED pia.
Ujinga tu.
While the Chinese r ur only source of pride in public while only hope in reality as far a chase for self glorification n chest thumbing development ego in Kunyaland is concerned! That express highway is a courtesy of master-slave exploitation!
 
Kabisa mkuu [emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2140407
Heheheheee mm nishapiga zangu now nipo kitandani nawa zoom tu hawa matahira wa northern corridor, alafu wanasema eti mm Ninawwchukia, niwachukie kwa lipi hasa? Mm huwa napambana nao waitoe ile dhana yao ya kipumbavu kwamba Tz ni nchi ya kawaida, hicho ndicho kitu ambacho sipendi, wakunya wakishakuwa na heshima na kaka zao hapo basi mm nitakuwa sina tatizo kabisa na naona cku hizi wameanza kukuwa na adabu na ndiyo maana hata sindano nmepunguza hata kule twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kwanza unaanzaje kuchukia nchi inayopokea misaada ya chakula karne hii zaidi ya kuionea huruma tu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…