Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Putin anaendelea kuharibu nchi yake. Ameamua kunationalize 500 leased aeroplanes bila kulipa leasor companies. Sasa nashangaa anafikiri nani siku za usoni atakuhali kulease ndege to a Russian airline ikiwa wanafanya wizi wa wazi namna hii? Hii ndio njia rahisi ya kufukuza investors.
 
So Bongolala has 5 cable-stayed bridges? 🤣🤣🤣
 
Kampuni za kutengeza ndege ni Marekani , Ufaransa na Canada . Hao wote wanavuna walichopanda. Maana wame freeze mali za watu
 
Hii sijui ni lorry ya nini imeanguka. Haionekani vizuri lakini nadhani ni maembe. Unaona dereva wa matatu anawajali abiria wake sana.
 
Rudisha zile yachts mlizo-confiscate! BTW niliuliza KQ haija-lease zile dreamnliners kwa any Russian Airline?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…