Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ule mradi wenu wa mafuta uliosimama umeanza
 
Wao vimiradi vyao vyote viko funded na Mchina alafu vimiradi vyenyewe havina faida kwa mwananchi wa kawaida alafu sisi tunajenga miradi yenye akili na yenye thamani kubwa alafu kwa pesa za ndani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shortest war in the history of mankind was Anglo-zanzibar war kwa kina ichoboy01 lasted only 40 minites😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hiyo ni jnhpp usidhani ni xpress way ya mchina, hapo jasho limetutoka wanaume co nyie nchi yenu wote wanawake mnasubiri kujengewa na wanaume alafu nyie mtumie bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapinga kuwa hiyo project sio loan and grants?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…