Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nauliza tena niliweka link kama 7 sijaona mtu amenijibu humu ndani au hayajibiki magumu uezo wa akili umeishia haoi hhahhahhhahahahah
 
Naona Watanzania tunajifariji kwa mambo yasiyo na maana baada ya kukaa kudai demokrasia na katiba nzuri ili kuijenga nchi yetu.

Ni dhahiri kuwa Nairobi iko vizuri kuliko Dar. Mbona hatujifananishai kiuchumi Tanzania na Kenya?
 
niliwapa link za kutosha naona wote wamekimbia aliekwambia kenya kuna democracy ni nani, diplomacy hawana itakua democracy kapime kichwa chako ww
 
Mungu akusaidie kuwa na uelewa mzuri na akupe hekima. Nimesema Tanzania tuwe na demokrasia nzuri na katiba nzuri ili kuijenga nchi, wapi nimesema Kenya ina demokrasia nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…