Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee wa kupeleka Jeshi kununua korosho 😁😁
 
Hivi pia ni sawa kusema SGR na TRC ni mali ya waturuki na Americans hadi mtakapomaliza kulipa loan
 
unajua mm nachoshangaa sana ww imejuaje kama hzo ni tank za russia πŸ˜‚πŸ˜‚ na kwann russia wamefanikiwa kuingia kyiev 🀣
Rob Lee huwa habahatishi. Mimi sources zangu zinaheshimika. Wewe baki hapo ukicheka wakati watu wako wanapigwa kama mbwa. OSINTtechnical pia huwa habahatishi. Hizi ni sources zinazoaminika. Wewe baki hapo ukicheka wakati ndugu zako wanabakwa huko Ukraine.
 
unajua mm nachoshangaa sana ww imejuaje kama hzo ni tank za russia πŸ˜‚πŸ˜‚ na kwann russia wamefanikiwa kuingia kyiev 🀣
Russia hawajaingia Kiev city. Wapo kwenye outskirts. Wiki tatu zimepita na superpower wako wameshindwa kuingia Kiev.
 
Mambo mengine uwe unaachana nayo mkuu, hayaongezi wala kupunguza kitu.
Sasa tatizo nn hapa? Wana Chato si wanataka kumuenzi JPM na nimetoa suggestion na pia kusema badala ya sanamu wangeomba memorial library ingekuwa more meaningful! Mimi nipo serious kwenye hii suggestion yangu! Serikali kazi yake si kujenga sanamu kwa ajili ya kutimiza nia ya idolization, hiyo ni kazi ya foundations e.t.c.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…