Russia bado wanapigana vita vya 1980s ambapo armoured tanks ndio zilikuwa zinaheshimika vitani. Siku hizi vita vya 21st century, mtu mmoja akiwa na javelin ATGM moja na missiles za kutosha anaweza kuangamiza tanks tano akiwa peke yake. Ujue kila tank ina majeshi wanne au zaidi na huwa wote wanaungua na kuwa nyama choma wakiwa huko ndani ya tank. Wanajeshi wengi sana wa Russia wamepikwa wakawa vitoweo ndani ya sufuria hio ya Chuma.Unakuta timu ya watu wanne pekee waliojibebea Javelin anti-tank missile na missiles za kutosha imetosha kuangamiza battalion nzima ya tanks zaidi ya 30.
Hawana raha, wanaangamizwa.Wanapewa bure duu wana raha kweli
Test train ni nzr kulio final, alafu hii SGR yenu hata sisi tungewajengea tungewaletea Suma JKT wakajenga mana haina technology yoyote ya kumsumbua SUMA JKT.Kenya SGR test trainView attachment 2155231What Kenya sgr got as final trainView attachment 2155234
Tanzania test rain View attachment 2155246View attachment 2155248
Final train for Tanzania sgr??
Wooiiiiii mitungiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningependa kuona hii depot from above. Najua aerial view inakaa poa sana.
La Germany ambalo limewasili Ukraine linaitwa Panzerfaust ATGM. Nalo pia linawapika warusi.Hili Mashine ambalo limetengenezwa USA kwa jina la Javelin anti-tank Guided missile (ATGM) Ndio linalotumika kuwapika wanajeshi wa Russia wakiwa ndani ya tank hadi wanakuwa choma tayari kuteremshwa na ugali.
View attachment 2155282
View attachment 2155294
Na hili hapa ambalo limetengenezwa UK kwa jina la NLAW (next generation anti-tank weapon) nalo linawapika warusi kweli kweli hadi wanaiva vizuri.
View attachment 2155290View attachment 2155291
Cc ichoboy01
La Poland nalo linatumika kuangusha ndege za kivita na linaitwa Piorun Manpad. Tayari limeshaangusha ndege kadhaa za Mrusi.La Germany ambalo limewasili Ukraine linaitwa Panzerfaust ATGM. Nalo pia linawapika warusi.
View attachment 2155303
View attachment 2155304
Hili nalo la Mmarekani linaitwa FIM-92 Stinger. Ni dude deadly sana la kuangusha ndege za adui. Waukraine tayari wanazo na wanazitumiaLa Poland nalo linatumika kuangusha ndege za kivita na linaitwa Piorun Manpad. Tayari limeshaangusha ndege kadhaa za Mrusi.
View attachment 2155305View attachment 2155307View attachment 2155309
Hili nalo ni la Mturuki na linaitwa Bayraktar TB-2 drone. Dude hatari sana kwa kuangamiza tanks za adui. Tayari warusi wameshapikwa kwa kutumia missiles za hili droneHili nalo la Mmarekani linaitwa FIM-92 Stinger. Ni dude deadly sana la kuangusha ndege za adui. Waukraine tayari wanazo na wanazitumia
View attachment 2155311View attachment 2155313
hili linaweza pia kuangusha helicopters na Jets za Urusi??Hili nalo ni la Mturuki na linaitwa Bayraktar TB-2 drone. Dude hatari sana kwa kuangamiza tanks za adui. Tayari warusi wameshapikwa kwa kutumia missiles za hili drone
View attachment 2155328
Niliona ng'ombe ikisema Kenya SGR haina marshalling yard.
na ndio hzo hzo zimetekwa na kupigwa π€£π€£π€£πππππHili Mashine ambalo limetengenezwa USA kwa jina la Javelin anti-tank Guided missile (ATGM) Ndio linalotumika kuwapika wanajeshi wa Russia wakiwa ndani ya tank hadi wanakuwa choma tayari kuteremshwa na ugali.
View attachment 2155282
View attachment 2155294
Na hili hapa ambalo limetengenezwa UK kwa jina la NLAW (next generation anti-tank weapon) nalo linawapika warusi kweli kweli hadi wanaiva vizuri.
View attachment 2155290View attachment 2155291
Cc ichoboy01
Hili nalo ni la Mturuki na linaitwa Bayraktar TB-2 drone. Dude hatari sana kwa kuangamiza tanks za adui. Tayari warusi wameshapikwa kwa kutumia missiles za hili drone
View attachment 2155328
La Poland nalo linatumika kuangusha ndege za kivita na linaitwa Piorun Manpad. Tayari limeshaangusha ndege kadhaa za Mrusi.
View attachment 2155305View attachment 2155307View attachment 2155309
assnte kwa propagandaππππLa Germany ambalo limewasili Ukraine linaitwa Panzerfaust ATGM. Nalo pia linawapika warusi.
View attachment 2155303
View attachment 2155304
Hapana TB-2 haiwezi kuangusha jet unless hio jet iko kwa ground. Missiles za hio drone are too slow kukimbizana na jet lakini pengine zinaweza kukimbizana na helicopter. Lakini hizo manpads nimeweka hapo juu zinaweza angusha ndege coz missiles za hizo manpads zinamove faster than the speed of sound. Kwa mfano hizo missiles za hii Piorun ya Poland na Stinger ya Marekani zina speed ya mach 2 kwa hivyo zinakimbia mbio kushinda speed ya sound times two. Yaani inakimbia mbio kushinda helicopter zote duniani na jets chache sana zinaweza kukimbia mbio kushinda hio missilehili linaweza pia kuangusha helicopters na Jets za Urusi??
oooh poa sanaπ₯Hapana TB-2 haiwezi kuangusha jet unless hio jet iko kwa ground. Missiles za hio drone are too slow kukimbizana na jet lakini pengine zinaweza kukimbizana na helicopter. Lakini hizo manpads nimeweka hapo juu zinaweza angusha ndege coz missiles za hizo manpads zinamove faster than the speed of sound. Kwa mfano hizo missiles za hii Piorun ya Poland na Stinger ya Marekani zina speed ya mach 2 kwa hivyo zinakimbia mbio kushinda speed ya sound times two. Yaani inakimbia mbio kushinda helicopter zote duniani na jets chache sana zinaweza kukimbia mbio kushinda hio missile
View attachment 2155344
Tazama hii video inayocompare Stinger missile ya Marekani na Piorun ya Poland. Video inaelezea kila kitu.