Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasemaje 007?
 
$6m iyo hata Ruto angeweza toa mjiepushe na aibu ndogondogo
 
Sasa mbona Mchina kagotea phase 2A? wacha ushabiki maandazi! Kwahiyo feasibility study ilikuwa ya uwongo? tatizo ni bloated costs through corrupt procurement by ur GoK n KR zilizomtoa Mchina stimu ya kuendelea ku-fund! halafu wacha kuandika magazeti!
Halafu uwache kudanganya. China hakukataa kufinance Naivasha-Malaba eti kwa sababu ya bloated costs through corrupt procurement. China iligomea kufinance Naivasha-Malaba kwa sababu ilihisi kuwa hio route haitakuwa profitable hususan bila ushirikiano na Uganda. Wakati huo Uganda walikuwa bado wanasuasua na Mchina akaona hii kitu sio viable. Akasema feasibility study nyingine ifanywe tena (ya pili).

Soma hapa


Nimequote relevant paragraph hapa chini

Fresh feasibility study

China last year withheld funding for the final segment of the SGR to the Uganda border and asked Nairobi to work with Kampala in conducting a fresh feasibility study for the project.

Concerns over SGR’s viability arise from the fact that Uganda has shown little enthusiasm for the grand project and has more recently been spending millions of dollars in the refurbishment of its rusty metre gauge railway network.

It is Beijing’s assessment that without Uganda, whose participation is key to connecting South Sudan and Rwanda to the Indian Ocean port of Mombasa, the SGR’s viability is grossly undermined.
 
Nitaandika tu gazeti na sio lazima usome. Project zenu za SGR ni even worse in terms of feasibility na return on income. Eti Burundi hadi nashangaa mnawaza nini.
Sisi siyo wajinga na hatukurupuki kama nyie. Lengo la hiyo reli ni kucapture soko la eastern DRC + soko la Burundi, Rwanda na hata Uganda (kupitia meli za mizigo from Mwanza port to Uganda). Kumbuka asilimia kubwa ya mzigo wa hizi nchi (DRC+Rwanda+Burundi) unapitia bandari ya Dar. Nakutokana na hii route kuwa ndefu SGR ikikamilika it is obvious kwamba mzigo mwingi utapelekwa katika nchi hizo kwa reli kutokana na unafuu wa gharama lakini pia muda wa kusafirisha bidhaa utapungua kutokana na speed ya tren na pia reli inaweza safirisha mzigo mwingi kwa wakati mmoja tofauti na malori. Labda kama gharama za kusafirisha mzigo kwa SGR zitakuwa kubwa kuliko za malori kitu ambacho sitarajii kutokea. NIMEKUHESHIMU NDIO MAANA SIJATANGULIZA TUSI KAMA ILIVYO ADA YANGU KWA MBURUKENGE WENGINE WA HUKO KENYA.
 
my bad! mchina atarudi tena!
 
my bad! mchina atarudi tena!
Uganda kwa sasa ipo very interested na inatamani ujenzi ufanyike hadi kuna timu la Uganda lilikwenda China kufuatilia hili jambo lakini Kenya haipo interested kwa sababu ya madeni. So kwa maoni yangu sioni ikijengwa for the forseeable future. Lakini ujenzi bado unaweza kufanyika baada ya miaka kadhaa zijazo.


Hapa kwa hii article, China Exim bank ilideny loan request ya Uganda kwa sababu Kenya haikutoa guarantee kwamba itafikisha reli yak Malaba.
Kenya kwa sasa haina hamu na hii project.

 
What's ur opinion on lifting debt ceiling? Do u feel safe? Naona Raila ame-express worries! I am pretty sure by August mtakuwa mme-surpass hiyo ceiling!
 
What's ur opinion on lifting debt ceiling? Do u feel safe? Naona Raila ame-express worries!
It is a bad move. Tayari tuko vibaya. Halafu kinachonishangaza ni kuwa kila wanapoongeza debt ceiling inachukua hii serikali miaka miwili tu kujaza madeni hadi kufikia ceiling. Nadhani last ceiling ilipandishwa 2019, sasa hivi wanataka kupandisha tena. Kibaki aliwacha Kenya ikiwa na deni kidogo sana na Uhuru ameborrow more than double ya hio deni in 9 years. Hio debt ceiling ikipandishwa tena italeta madhara mabaya coz tax nyingi itakuwa inakwenda kulipa madeni badala ya kujenga miundombinu. So serikali itafika mahali itabidi ianze kupunguza expenditure on infrastructure. Yaani itapunguza investments kwenye mambo kama barabara n.k. Pia itafika mahali wafanyakazi waanze kupigwa kalamu au kupelekwa on early retirement ili kupunguza matumizi ya serikali. Budget expenditure ya $32 billion kwa nchi yenye inakusanya mapato ya $18 au $19 billion kwa mwaka ni mchezo. Hio budget deficit ya Kenya ni kubwa sana. Lazima serikali ipunguze matumizi. (Au iongeze ukusanyaji wa ushuru).
 
Uhuru is overworking [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani this time itachukua muda mfupi! Pia ni Mwaka wa heavy spending huu kwenye election!
 
Hata mimi nakubaliana na wewe na nilishangaa,hakuna kenge yeyote wa kumpita US in a near future,hayupo..
 
Baada ya Boris Johnson kupewa ngeta na kitasa cha maana












Saudi Arabia ikaamu ku-look East


Iran kaja Moscow


Assad akakaribishwa UAE


Mchezo mtamu huu mabwana wa Kunyaland wanatafuta pa kujishika



CC: Tony254
Saudi Arabia ni mshirika wa Marekani Middle East silaha zake nyingi anzipata US,hakuna nchi isiyojua kua ulimwengu huu bado ni dollar economy.Utapokea Yen still utahitaji Dollar.Pia policy za yen ya chinia hazitabiliki maana China amekua akishusha na kupandisha fedha yake kulinga volume ya export.Hizi zitabaki ni tetesi amid Ukraine Crisis
 
Kwa maana hiyo Saudi Arabia haiwezi kwenda kununua silaha za Mrusi?
 
Nitaandika tu gazeti na sio lazima usome. Project zenu za SGR ni even worse in terms of feasibility na return on income. Eti Burundi hadi nashangaa mnawaza nini.
Burundi ni njia ya kufika Congo..plus btw..kwan uchumi wa burundi ni stagnant..anaweza akaja kiongozi mambo yakaenda vizuri..plus reli hii inaweza kutumika for 100 year plus mpka techonolgy itapokuwa imepitwa na wakati
 
Sio tetesi mzee ndipo dunia inaelekea
 

Mchina hana ujinga huo wa West,yuko busy na uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…