Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu kaka amekwisha tueleza maneno mwafaka, ila wenzake humu watazidi kumponda na kumkashif kilasiku kwa ajili ya ueledi wake wa kufichua ukweli wa mambo jinsi yalivyo
 
👆🏽najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hit💥 haitakua nchi ingine bali kenya na kenya🇰🇪 tu..!. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejelea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo na 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana 😆😆
 
hebu tusakanyane ngware, mi nimebaki nimedoz. chao.! kesho pia siku, inshaalah......

"bismilahi salahla.. uwalei uuwahsalam.. uwarahman tulilaah.. wabarakatu.." 🧎🏾‍♂️🧎🏽
 
Wala sio gumu ni simple tu ,sisi sio vibaraka wa wamabeberu kama nyie
 
Hebu twende kwa reasoning what was the GDP in 2017 rail ilivyoanza kujengwa and what will be the GDP in 2025 (projected)? will it have made any difference

2..Unajua reli inaweza ikachochea investement za industrial parks kwa wawekezaji along the corridor

3.Dar hai contribute 70% of economy...nenda kwa data za NBS uangalie GDP ya Dar kabla hujasema

4.Barabara nazo ulizotaka zijengewe zinahitaji mainatnace every 3 to 5 years ..dont they?

5.Am not against Wilaya na wilaya kuunganishwa..but rail ..is very significant hasa kama itakuwa well runned...eletricity will even reduce its cost compared to disel

6..Bora ungesema ATCL revival maana inaeleweka duniani kote ndege huchukua muda kuleta returns and most are secondary to the economy

7.
 
NIT, ARDHI havipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wachaneni na huyo, mnapoteza muda wenu bure
 
Huyu anafikiri uchumi unabakia stagnat hapa afrika hamna Nchi yenye madini kama DRC na sisi tunajenga hii reli target yetu kubwa ni DRC huwezi jua uko mbeleni nchi zingine za central Africa zinaweza taka kujoin reli yetu na mizigo yao ya kutokea china badala ya kuzungukia sauzi kule chini itapitia dar kusave mda na sisi tutakua tumewin kuliteka soko la afrika ya katI
 
Ardhi yote yenye rutuba Kenya imechukuliwa na wanasiasa na wazungu wachache wanalima maua na chai, majority of Kenyans wanakufa kwa njaa.

By the way, hatuhitaji silaha za nuclear kuishambulia Kenya, hata Leo hii tukitaka tunaichukua Kenya ndani ya wiki Moja, udhahifu wa KDF ulivyodhihirika huko Somalia, hamuwezi kudumu hata wiki Moja kwa JWTZ
 
ichoboy01 najua unafurahia sana kuona video kama hii ya huyu msichana wa miaka miwili. Unahisi utamu sana sio?
Tulia dawa iingie vizuri, hivi wale watoto wa Afghanistan waliokua wakiuliwa kwa zaidi ya miaka 11 na majeshi ya USA na washirika wake hawakuwa binadamu, au kwa sababu waliokua wakitekeleza yale mauaji ni waume zenu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Egerton university nao walimu waligoma!
 
Huyu Tony254 amekuwa mtu wa Politik!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani umepost humu kwa mwaka huuu madini pekeyake yamechangia 3.5 billions usd, alafu unasema uchumi wa Tz ni Dar 70%[emoji41]
Ukubali au ukatae lakini hilo halitabadilisha ukweli kwamba uchumi mkubwa wa Tanzania (zaidi ya nusu) upo Dar es Salaam pekee. Vile vile zaidi ya nusu ya uchumi wa Kenya upo Nairobi. Uchumi wa nchi za Africa ziko highly centralized kwa sababu Wakoloni walizi-design hivyo. Halafu tulipopata uhuru hatuku-decentralize our economic systems. Tuliendelea na mfumo huo wa Wakoloni wa kucentralize kila kitu Dar es Salaam na Nairobi. Kila kitu kilikuwa kinafanywa Dar es Salaam na Nairobi hata baada ya kujipatia uhuru. Huo ndio ukweli wa mambo hata ukipinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani umepost humu kwa mwaka huuu madini pekeyake yamechangia 3.5 billions usd, alafu unasema uchumi wa Tz ni Dar 70%[emoji41]
Huyo jamaa ni kilaza wa mwisho 😂😂 hajui lolote
 
Usilazimishe tufanane bablai .. Dar inachakingia 17% ya pato la taifa. Sisi sio nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…