Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna kuongea sana hakuna propaganda ni kazi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ propaganda achilia wazungu wanaosema uongo kila kukicha na kipigo juu
 
kumekucha ndio unatafuta shuka Tony254 🀣🀣🀣🀣 vita sio maneno maneno mzee
 
kumekucha ndio unatafuta shuka Tony254 🀣🀣🀣🀣 vita sio maneno maneno mzee
sasa mazungumzo baada ya watu wake kuuwawa, miji kuharibiwa, muundo msingi kuhadhiriwa, huyu jamaa angekua proactive mapema na hangeingia vita ambayo anajua vizuri hangeshinda. tena hii ni vita ambayo imeamsha kinonda ama cold blood btwn nato and russia, ama coldwar btwn USA and USSR, vita ambayo tulikua tumesahau na ambayo inayo kisiwa kutishia uwepo ama existence ya ulimwengu kwa ujumla
 
Jeshi la nini mkuu hapo ukikata supplies za food watawezaje pigana na njaa ni kuua tembo kwa ubua tuu.
 
kwani mwanzo hakujua hvo?? πŸ˜‚ yani ww uone vita alaf hujui kama nchi itaharibika au nato walimdanganya ajaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…