Umereason vyema sana chief. Huyu Zelenskyy ni mfano halisi wa watumwa wa Marekani, US anawatiaga uchizi watumwa wake wanashindwa kureason. Sasa mshauri Uhuru awaombe msamaha Wasomali na kutoa jeshi lake na kulipa fidia uone mtakavyoishi kwa amanisasa mazungumzo baada ya watu wake kuuwawa, miji kuharibiwa, muundo msingi kuhadhiriwa, huyu jamaa angekua proactive mapema na hangeingia vita ambayo anajua vizuri hangeshinda. tena hii ni vita ambayo imeamsha kinonda ama cold blood btwn nato and russia, ama coldwar btwn USA and USSR, vita ambayo tulikua tumesahau na ambayo inayo kisiwa kutishia uwepo ama existence ya ulimwengu kwa ujumla
Kule AMISOM Somalia kuna vitoto vya Kikunya vinaishi kambini? Uache upumbavu wa kutetea Ukraine kufanya vitoto bait!Wewe akili yako haifanyi kazi vizuri. Eti unamlaumu Zelensky kwa mauwaji ya huyo msichana wa miaka miwili ilhali mauwaji yenyewe yamefanywa na Russia? Wewe na ichoboy01 mna matatizo ya akili sio bure.
Nimesema connection to Kigali haitaanzia TZ tena.. Kama mwanzo. Hiyo route ya Isaka-Keza-Kigali haipo Kwa Sasa.. That's why nimesema hiyo extension to Kigali labda itaanzia Bujumbura.Hujaelewa nilichouliza, Burundi connection is settled! Nauliza Kigali connection through that said PPP!
Tungoje J4 misingi ya hizi nchi mbili zilizojengwa na uhasama baina yao sioni Kigali ikiunganishwa na Burundi kama option ya Keza haipo basi Rwanda itaunganishwa na Kampala!Nimesema connection to Kigali haitaanzia TZ tena.. Kama mwanzo. Hiyo route ya Isaka-Keza-Kigali haipo Kwa Sasa.. That's why nimesema hiyo extension to Kigali labda itaanzia Bujumbura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijinga
aisee ata sijui kdf bado wanafanya nn somalia hadi wa leo.. uhunye afadhali awatoe huko. sa tunapigana vita vya wenyewe ambayo sioni maana ata kidogo, huku bado hatuja suluhisha changamoto zote za ndani zinazotukabiliUmereason vyema sana chief. Huyu Zelenskyy ni mfano halisi wa watumwa wa Marekani, US anawatiaga uchizi watumwa wake wanashindwa kureason. Sasa mshauri Uhuru awaombe msamaha Wasomali na kutoa jeshi lake na kulipa fidia uone mtakavyoishi kwa amani
Haiji akilini na wala Kagame hawezi kukubali aunganishwe kupitia Burundi itakua more expensive kusafirisha mizigo rwanda I think the route to keza na extension to Kampala bado ipoNimesema connection to Kigali haitaanzia TZ tena.. Kama mwanzo. Hiyo route ya Isaka-Keza-Kigali haipo Kwa Sasa.. That's why nimesema hiyo extension to Kigali labda itaanzia Bujumbura.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila mwanzoni nilidhani lagos nigeria hadi venye niliutazama kwa makini
Arusha Kilimanjaro ndio leading tourist destinations in Tz sasa contribution ya tourism kwa GDP ni kiasi gani halafu jumlisha na contribution ya mining in the lake zone na agriculture country-wide hizi sectors zote kwa kiasi kikubwa haziko Dar na ndio zinazoshika sehemu kubwa ya uchumi wetu.Kitu pekee unachotakiwa kuelewa ni kwamba Tz sio kenya , nikweli Dar inamapato kuzidi mikoa mingie lakin sio kww 70% hiyo nakataa daima , Tz ni nchi yenye resources nyingi na ziko almost evenly distributed hivyo hata uchumi wake ni shindani sio kama kenya ambayo nusu jangwa hata barabara mkashindwa kupeleka uko kaskazini
Ishu ni financing. Kwa ilivyo Sasa Kigali inabidi iweke commitment and seriousness ya hali ya juu maana lengo la reli ni ifike DRC, na ndio imeshafika hivyo via Bujumbura. Sasa kujipinda tena Kwa mkopo ili ifike Kigali to DRC again its not feasible.Haiji akilini na wala Kagame hawezi kukubali aunganishwe kupitia Burundi itakua more expensive kusafirisha mizigo rwanda I think the route to keza na extension to Kampala bado ipo
Ila kutoka Keza mpaka Kigali mpaka North Kivu ni sawa na kutoka Keza mpaka Kigali, labda kama sisi tumemwambia hatuna fedha ya kujenga Isaka-Keza SGR! Na pia kama connection itatoka Gitega basi Kigali rote itakuwa at a disadvantage. There is something brewing and very soon tutagundua, na i suspect a change of mind on Kagame.Ishu ni financing. Kwa ilivyo Sasa Kigali inabidi iweke commitment and seriousness ya hali ya juu maana lengo la reli ni ifike DRC, na ndio imeshafika hivyo via Bujumbura. Sasa kujipinda tena Kwa mkopo ili ifike Kigali to DRC again its not feasible.
Pia Kigali haipo tight kihivyo na DRC kama Bujumbura, same wise their not in good terms with Kampala either. Hivyo unaweza kuona picha inajitengeneza kama hivyo. Hivyo Kigali ina kazi haswa kutengeneza ushawishi ili ifikie na mtandao huo wa SGR. Kuweka pesa nyingi za kukopa ili ufike Kigali maana mkopo itakuwa wa wote TZ na Kigali ni jambo la kusubiri na kuona itakavyo kuwa maana hata huko hakuna biashara kubwa na target ni DRC kupita Bujumbura au Kigali it's okay.. Eyes to DRC.
Sent using Jamii Forums mobile app