Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
What about the annihilation of the Palestinians which is not talked about, we all know Israelis have more than double their land size since 1930 by occuping and grabbing Palestinian ancestral landThe manifesto of hamas is complete annihilation of Israel. Remember Israels were almost wiped out during the holocaust and you expect IDF to sit and watch.
Turkey ni member wa NATO since 1952turkey sio member wa nato bro
Huu kama ni ukweli basi Marekani ni mpuuzi sana.
Kwani nani kawakatalia? Hiyo sio hoja ya kuhalalisha mauajiYou look like the bigger fool here. Why didn't Palestine, Libya, Syria,Iraq,North Korea etc allowed to choose their own paths?
USA ndo wame destabilize hizi nchi zote plus central america wameharibu kabisa. US ni kidonda kwa dunia na imperialism.Kwani nani kawakatalia? Hiyo sio hoja ya kuhalalisha mauaji
sio kama ni ukweli huo ndio ukweli lakini hua munajifanya hamuoni nyinyi😂😂😂Huu kama ni ukweli basi Marekani ni mpuuzi sana.
Zelensky ndo alianza vita sio?.
Wewe kweli ni mtu wa Hollywood movies. 😀😀😀Kwani China akuwai piga ndege ya America? Sasa mbona awakupigana nae?Comparing apples to oranges, libya that bombed American plane, Palestine which tried to wipe out israel but failled, iraq which attacked kuwait, Afghanistan the base of Taliban who bombed Nairobi, Dar es salaam and New York. Tell me which country Ukraine has attacked. Infact, it was russia which blew Ukraine civilian Plane.
Wewe jamaa nitumie number Yako Safaricom nikutumie pesa ukanywe beer Leo.Hizi zote unaandika hapa ni conspiracy za America ambazo hazijawahi dhibitishwa kwa court mahali. 911 ilifanywa na wasaudi, Osama alikua Msaudi kwa nini America haikuvamia Saudi Arabia? We all know Palestine ndio the true owners wa nchi ya Israel na waisraeli ni settlers ambao wanasaidiwa kunyanganya ardhi na USA huku wakiua wapalestina. Watoto wa wapalestina hufa kila siku kwa makombora yanayotupwa na Israel. Libya was the richest country in Africa before Obama fucked it up in the name of democracy. Iraq weapons of mass destruction hazikua na America walinyonga Saddam. Unaimagine rais wa Tanzania akinyongewa nchi nyingine sababu ya uongo????? Afghanistan ata sitasema kitu unajua vile USA waliwafanya. And the list goes on and on.....
Kama ni vijisababu vya kuattack nchi kama ambavyo USA imeishi kufanya Russia wana chungu nzima. Ona hii hapaView attachment 2158319
Theres nothing like conspiracy theories here, this is not a debate about aliens and flat earth, this are events which happened.Hizi zote unaandika hapa ni conspiracy za America ambazo hazijawahi dhibitishwa kwa court mahali. 911 ilifanywa na wasaudi, Osama alikua Msaudi kwa nini America haikuvamia Saudi Arabia? We all know Palestine ndio the true owners wa nchi ya Israel na waisraeli ni settlers ambao wanasaidiwa kunyanganya ardhi na USA huku wakiua wapalestina. Watoto wa wapalestina hufa kila siku kwa makombora yanayotupwa na Israel. Libya was the richest country in Africa before Obama fucked it up in the name of democracy. Iraq weapons of mass destruction hazikua na America walinyonga Saddam. Unaimagine rais wa Tanzania akinyongewa nchi nyingine sababu ya uongo????? Afghanistan ata sitasema kitu unajua vile USA waliwafanya. And the list goes on and on.....
Kama ni vijisababu vya kuattack nchi kama ambavyo USA imeishi kufanya Russia wana chungu nzima. Ona hii hapaView attachment 2158319
Ila Rais wa DRC asijifananishe na wa Tanzania, juzi amekoswakoswa kupinduliwa! Kiufupi hakuna defence systems nzuri chini ya FARDC ndo maana MONUSCO na UPDF wapo eastern DRC! anytime kule meza inapinduka!inahitaji mtu jasir kufanya maamuzi kama haya.. kipindi kile kuna watu walisema tutapigwa sanctions.. tutatengwa na dunia.. etc
Wasaudi wa 911 haikuwa Osama pekee walikua wengi. FYI, Osama aliuliwa akiishi Abottabad, kwa nini USA haikuwahi attack Pakistan?Theres nothing like conspiracy theories here, this is not a debate about aliens and flat earth, this are events which happened.
Osamas nationality is irrelevant remember even Hitler was born Austrian not German. Afghanistan was where he planned attacks against nairobi, dar es salaam and New York.
UN declaration created Israel, arab countries ganged up but they ended losing territories. So Israel is enjoying spoils of war which is legal.
Definition of spoils of war
Warfare conceptsEdit
- Prize of war, regarded as legitimate
Yes Marekani na nchi za magharibi ni hypocrites! Wanatumia jina la democracy kufanya uovu mwingi sana. Wamefanya uharibifu mkubwa sana duniani. Lakini nyinyi watanzania kusema kuwa mnasupport Russia ni double standards pia. Kwani kitu kinachofanywa na Russia ni tofauti na uharibifu uliofanywa na western countries? Hakuna nchi yoyote Huru inayostahili kuwa occupied! Nyerere amesimama na hii falsafa katika uongozi wake na Ndio Maana Tanzania ilijikita sana na uhuru wa nchi za Afrika.Yah we sympathise with them ila sababu yetu kubwa sisi kumsapoti mrusi ni double standard ya izo nchi unaziita civilised mbona hawajawahi kumuwekea vikwazo mu Israeli