serekali na ATCL ni sawa na kusema unatoa hela mfuko huu wa kulia unaweka mfuko mwengine wa kushoto lakini suruali ni moja😂😂😂😂Mkuu tunakumbushana tu though wote ni wabongo. Ni hivi ATCL haujanunua na wala haimiliki ndege. Kilichofanyika ni Magufuli kununua ndege na KUWAKODISHA ATCL.
Huo ndo ukweli .
hesabu tuone basi 🤣🤣🤣🤣Huwa nakuambia kila siku ujifunze kuhesabu na hutaki. Hapo umeona 8 floors pekee?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Tanzanians and mathematics. Like oil and water 😂😂😂majengo mawili ya 8 floors serious??🤣🤣🤣
hesabu basi zikizidi nane nitag 🤣🤣🤣 leo unekua muoga wakuhesabuTanzanians and mathematics. Like oil and water 😂😂😂
Wanafki tuu hao mm nishawazoeaHili bomba lingeenda kenya, sisi wabongo hata tusingekuwa na huu wivu wakenya walionao.. sisi huwa hatuko busy na vitu vya nje..wanaharakati wengi wa kibongo huwa wanapigia makelele mambo ya ndan ya nchi..vya nje huwa hawana mda nao..
Duu aisee hawa wasenegali wapo vizuri miradi yao si ya kitotoIle siku Kunyaland itapata kadaraja kama haka hatutalala humu ndani
Ulishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumizaKama kawaida muongoza mgomo ni mkenya huwezi kuta mbongo anafanya huu ujinga
View attachment 2165854
Failed state characteristics, insecurity
Kwani ATCL ni Mali ya nani?Mkuu tunakumbushana tu though wote ni wabongo. Ni hivi ATCL haujanunua na wala haimiliki ndege. Kilichofanyika ni Magufuli kununua ndege na KUWAKODISHA ATCL.
Huo ndo ukweli .
ATCL ni shirika La serikali sikatai. Hebu nipe maana ya KUKODISHA .serekali na ATCL ni sawa na kusema unatoa hela mfuko huu wa kulia unaweka mfuko mwengine wa kushoto lakini suruali ni moja😂😂😂😂
au labda nikuulize ATCL inamilikiwa na nani???
Ni Mali ya serikali .Kwani ATCL ni Mali ya nani?
Hawa ndo Wakenya nikupoteza nguvu zao bure tu!!!Raisi wao alienda kulialia kipindi kile kwa Macron akarudi na ahadi ya barabara tu,sasa sijui wanataka msaada wa serikali ipi kuishindikiza Total kusitisha mradi wa EACOP.Ulishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumiza
Siku hizi kwenye mbio tumeanza kurudisha nafasi yetu taratibu, tukiwa serious tutarudisha enzi zile za kina Filbert Bayi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi kwenye mbio tumeanza kurudisha nafasi yetu taratibu, tukiwa serious tutarudisha enzi zile za kina Filbert Bayi.
Kwa hiyo kama hakusafiri ndio nini? NonsenseJPM refused to die
Over a year now people refuse quit discussing the legend