The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Ndio nn BRT au? Hii nchi wanasiasa wanawachezea sn wananchi, yn hapo wanataka kuwaongopea wananchi kwamba na wao wana BRT kama ya Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa sijaona, kumbe ndio hapa kwenye ultra modern bus terminal[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili mtu wangu, akili pekee ndio huwa unakosa. Wewe huoni hiyo bus imeandikwa Nairobi Commuter rail? Ama kusoma imekuwa shida kwako?Ndio nn BRT au? Hii nchi wanasiasa wanawachezea sn wananchi, yn hapo wanataka kuwaongopea wananchi kwamba na wao wana BRT kama ya Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ndiyo hii hapa commuter station? Wewe lengo lako lilikuwa kuonesha bus au sio, haya hii hapa Nairobi commuter rail station [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili mtu wangu, akili pekee ndio huwa unakosa. Wewe huoni hiyo bus imeandikwa Nairobi Commuter rail? Ama kusoma imekuwa shida kwako?
I could have asked you how you're surviving without brain then I remembered that Jellyfish is your source of inspiration and hope.Si ndiyo hii hapa commuter station? Wewe lengo lako lilikuwa kuonesha bus au sio, haya hii hapa Nairobi commuter rail station [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2166116
I have said it before and Iβll say it again, foreign businesses in Kenya arenβt exclusively from the west. And yes, Kenya is a capitalist country, but do you have any proof that their policies restrict government intervention? Because there is no private sector in the world that is completely unregulated! Government intervention will always occur. Operating a business abroad, especially in developing countries could be advantageous due to several factors such as lower labor wages, lower corporate taxes, a booming consumer market etc, but it seems to me that any country that has investments from the west is somehow wrong because it has given up its autonomy to such businesses. And this is ridiculous because places like Hong Kong and Singapore are THRIVING because of foreign businesses. Have they lost their autonomy to foreign powers?What do you mean by "Hub for international business?". If you talk about international companies having their offices in Kenya, then the answer is clear, "Because Kenya is a capitalist economy", these western/capitalist companies need free and weak polices, where they can buy and own whatever they want without any Government awareness or interuption, they need a country which private sector is powerful and stronger than Government, that they can be allowed to work in the country but their bank accounts are in abroad, these are countries that have surrendered their economies to the so called "private sector" unregulated. In Africa, Kenya is the only country which it's economy is under control of private sector.
Na boeing 2 737 maxmm nakwambia hvi ww liaaa lakini ukweli unaujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa jiandae kisaikolojia kuskia mwaka huu ndege tano kubwa zinaingia
boeng 767 freighter moja
Airbus A320 mbili
bombadier q400 moja
boeing 787 dreamliner moja
Watanzania huo mda hatuna hawa majirani wivu tuu Ndio unawasumbuaUlishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumiza
Mzee kingereza kingi cha nini njoo na facts sio maneno for the last 2 or 3 years tumewazidi wakenya kwenye gharama ya uwekezaji kutoka njee ,ww icho ki structure cha Microsoft cha 27 million $ kimekupagawishaa sana na ww uache kuwa biased juzi tu hapa wa misri wamesaini mkataba na serikali kuwekeza viwanda vyenye thamani ya dola bilioni 3 na jana tu au sijui ijumaa tumesaini mkataba na makampuni ya China kujenga viwanda zaidi ya 200 vyenye thamani ya bilioni 3 dola sasa wewe sijui unataka nn zaidi ya hapoI have said it before and Iβll say it again, foreign businesses in Kenya arenβt exclusively from the west. And yes, Kenya is a capitalist country, but do you have any proof that their policies restrict government intervention? Because there is no private sector in the world that is completely unregulated! Government intervention will always occur. Operating a business abroad, especially in developing countries could be advantageous due to several factors such as lower labor wages, lower corporate taxes, a booming consumer market etc, but it seems to me that any country that has investments from the west is somehow wrong because it has given up its autonomy to such businesses. And this is ridiculous because places like Hong Kong and Singapore are THRIVING because of foreign businesses. Have they lost their autonomy to foreign powers?
The western world has been stereotypically labeled as an imperialistic force, which is absolutely true. But if you think that imperialism is strictly a western characteristic then youβre wrong. How many times has China threatened to control several countriesβ assets because they failed to pay back Chinaβs hefty investments? If you say that investments from the west are bad because youβre anti-capitalism but you neglect to mention Chinaβs imperialistic approach then youβre an idiot. And youβre biased and naive. It fascinates me that this conversation is geared towards capitalism and communism while the main arguments could simply be based on the respective countriesβ approaches to attracting investors. Shame on you.
Nashangaa ichoboy kasahau B737Max.Na boeing 2 737 max
ππ iyo ni mfano kadhaa tuu ya bara uko visiwani nako waomani wanaenda kuwekeza kwenye bandari, hoteli na apartments na viwanda zaidi ya bi mojaa dolaI have said it before and Iβll say it again, foreign businesses in Kenya arenβt exclusively from the west. And yes, Kenya is a capitalist country, but do you have any proof that their policies restrict government intervention? Because there is no private sector in the world that is completely unregulated! Government intervention will always occur. Operating a business abroad, especially in developing countries could be advantageous due to several factors such as lower labor wages, lower corporate taxes, a booming consumer market etc, but it seems to me that any country that has investments from the west is somehow wrong because it has given up its autonomy to such businesses. And this is ridiculous because places like Hong Kong and Singapore are THRIVING because of foreign businesses. Have they lost their autonomy to foreign powers?
The western world has been stereotypically labeled as an imperialistic force, which is absolutely true. But if you think that imperialism is strictly a western characteristic then youβre wrong. How many times has China threatened to control several countriesβ assets because they failed to pay back Chinaβs hefty investments? If you say that investments from the west are bad because youβre anti-capitalism but you neglect to mention Chinaβs imperialistic approach then youβre an idiot. And youβre biased and naive. It fascinates me that this conversation is geared towards capitalism and communism while the main arguments could simply be based on the respective countriesβ approaches to attracting investors. Shame on you.
Wakunya vya Tanzania sasa ndio zaidi ya vya ndani, diamond juzi huko Netflix sijui kasema (I am 31st years old) imekua breaking news mpaka wanasiasa wao wameacha campaigns wanadiscuss 31stHili bomba lingeenda kenya, sisi wabongo hata tusingekuwa na huu wivu wakenya walionao.. sisi huwa hatuko busy na vitu vya nje..wanaharakati wengi wa kibongo huwa wanapigia makelele mambo ya ndan ya nchi..vya nje huwa hawana mda nao..
Kenya na mathematics ndio mpo vizuri au? Ninyi mnaojengewa kilometers 400 za SGR kwa dollars billions 4 na sisi tunaounganisha Tanzania, Rwanda, Burundi and DRC kwa electric SGR kwa dollars billion 3 nani mburura wa mathematics?Tanzanians and mathematics. Like oil and water πππ
Kaombwa au kajitolea kwa hiari? Sababu kama serikali inayotumia billion 7 kurikodi filamu inashindwa kupeleka wanafunzi nje kusoma ni fedheha bila Soni! π
Na wenyewe wamepuyanga, lilitakiwa liwe angalau kwa uchache 4 lanes!Duu aisee hawa wasenegali wapo vizuri miradi yao si ya kitoto
Kiukweli hata mimi nimeshtuka π π
Alivyoona JPM anajenga electric SGR Akaenda pia huko kwa Macron, ni miaka minne toka Macron awaletee render ya electric train na kuwaachia manyoya π π π πHawa ndo Wakenya nikupoteza nguvu zao bure tu!!!Raisi wao alienda kulialia kipindi kile kwa Macron akarudi na ahadi ya barabara tu,sasa sijui wanataka msaada wa serikali ipi kuishindikiza Total kusitisha mradi wa EACOP.
He didn't speak English but the whole world knew his wisdoms from his tongue word by word correctly! Strange!Kwa hiyo kama hakusafiri ndio nini? Nonsense