Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiView attachment 2171940
Hii picha huwa ninaletea kinyaa hatari. Halafu wao ni sawa tu kwao kwa kuwa waliambiwa na wazungu wana uchumi mkubwa. Uchumi usiojali afya za watu ni majanga. Kutokuwa na vyoo ni kielelezo cha umasikini tena mji mkuu wa nchi, bora hata vijijini. Wanakunia tu kwa raha zao mtaani. Hakuna kuona aibu wala haya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
hata uhuru wao wenyewe wa kenya umetokana na chimbuko la Tz,si jitihada zao

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Honestly, i will never discuss with you about slums, dem sure i know you guys have a PHD on that course, we didnt even finish kindagate[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Modernity in it's true colors [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116]

View attachment 2171789

View attachment 2171792
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dont argue with the fools, they will drug you to there level, and beat you with experience....bye mister mipesaaa
 
Must you type in English?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
ata uscheze mbali Tony254.. hizi pekee hawanaso dar.. hehe..
 
bambana na hali yenu.. ata Tony254 amekuelewa vizuri, kingereza cha UK na US inatafautiana kwa kiasi, na hawana shida.. uchumi wao bado una zidi kukua.. una complain nn hapa.! hakuna mwenye amekufa.!

hautabadilisha;

talanta kwa kipaji,
stima kwa umeme,
seng'enge kwa senyenge,
metameta kwa meremeta,
muundo msingi kwa muundo mbinu,
nyaya(plural) kwa waiya(plural)
 
bambana na hali yenu.. ata Tony254 amekuelewa vizuri, kingereza ya UK na US inatafautiana kwa kiasi, na hawana shida.. uchumi wao bado ina zidi kukua.. una complain nn hapa.! hakuna mwenye amekufa.!
Mbona vyenye makasiriko??Mimi nilichowabishia wewe na kaka yako ni kusema Tanzania tunasema kukula...ila kama mmenielewa vizuri sana, msiwe mnapotosha vitu na kupelekea watu waamini.
 
Konza, tatu, railway cities na takataka zote Nairobi imekua ikijitapa inajenga zinaenda kujibiwa na hii project na bado hazitoshi hata kwa 10% ya ukubwa wa huu mradi


View attachment 2172032
Hii imekaa vizuri sana na serikali ifanye kazi kweli kweli, kwa umakini pasije pakatokea makanjanja na kukwamisha huu mradi kwa maslahi yao.
 
We dyfre, ngeli ya genge maana yake nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…