joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Kama biashara Kati ya Kenya na Tanzania ilidorora kwa sababu ya Magufuli, vipi kuhusu biashara Kati ya Kenya na Uganda mbona inazidi kudorora?, au Magufuli amehamia Uganda?.Kwa hivyo hio $600 million pesa mnayopata kwa kuexport bidhaa Kenya ni takataka tu sio? Nyie hamuhitaji hio pesa kwa sababu nyie ni matajiri sana sio? Halafu wacha kusema kwamba Kenya haina umuhimu wowote kwa Tanzania. Bado trade statistics ya TZ ya 2021 haijatoka. Ikitoka nakuhakikishia kwamba Kenya itapanda kwenye jedwali hilo. Tangu Magu aingie Kenya ilianza kuteremka kwenye jedwali hilo kwa chuki na madharau aliyokuwa anatufanyia. Anyway tungoje tuone data zikitoka, Kenya lazima itapanda sana kwenye jedwali hilo, baada tu ya mwaka mmoja wa mama kushika usukani.
You can have 22 berths but of what length?Dar port has 11 berths, Mombasa port has 22 berths[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 2174046
soma vzr nilichoandika huenda ukanielewa π€£Hizo bandari zote zikiunganishwa pamoja hazifikii hata nusu ya Mombasa π€£π€£ππ€£
urhhehe sasa sunction za nn tena simulisemaichoboy01 baada ya wajinga wa Russia kushindwa vita na kulazimika kuondoka Kiev, waliamua kuuwa raia wengi kwanza kabla ya kuondoka. Hio ni njia yao ya kutoa machungu na hasira kwa kushindwa kuiteka Kiev na kulazimika kuondoka na kurudi Russia.
shida tu ni venye kila kitu kizuri tz ipo tu dar, dar na dar pekee...... kwingine kote ni vichakaniukisema modern market unaonesha kitu kama hichi πππππππ
View attachment 2173936
au kama hiiπ€£π€£πππππ
View attachment 2173940View attachment 2173941
aliekudanganya nani mbona dodoma husemi sasa ππππshida tu ni venye kila kitu kizuri tz ipo tu dar, dar na dar pekee...... kwingine kote ni vichakani
kwani njombe iko dar ??πππshida tu ni venye kila kitu kizuri tz ipo tu dar, dar na dar pekee...... kwingine kote ni vichakani
na soko la kisasa la morogoro lipo dar piashida tu ni venye kila kitu kizuri tz ipo tu dar, dar na dar pekee...... kwingine kote ni vichakani
kaa mkao wa kula sasa hili ni solo la mwanza liko zaidi ya asilimia 65 kwenye ujenzi musije kusema airport tushida tu ni venye kila kitu kizuri tz ipo tu dar, dar na dar pekee...... kwingine kote ni vichakani
300 meters. Za Dar ni 150 - 180 meters.soma vzr nilichoandika huenda ukanielewa [emoji1787]
Dar port handles 16M tonnes, Mombasa is handling 34M tonnes.soma vzr nilichoandika huenda ukanielewa [emoji1787]
mtwara kuna 3 bearths, two of them are new na ni 300m eachππ najua hutaamini300 meters. Za Dar ni 150 - 180 meters.
Mtwara only have two berths, usidhani kila mtu ni mjinga hapa. Alafu hata ukijumuisha mtwara, Tanga na Dar bado hazifikii Mombasa [emoji23][emoji23]mtwara kuna 3 bearths, two of them are new na ni 300m each[emoji23][emoji23] najua hutaamini
eti dar ina 150 to 180 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwei adui muombee njaa
hio ro ro bearth pekee ni over 320m na ni yamagari pekee
dar in over 20m na hii ilikua 2019 sasa tunaelekea 25mDar port handles 16M tonnes, Mombasa is handling 34M tonnes.
mtwara in 2 new beaths na old oneππ najua hutaaminiMtwara only have two berths, usidhani kila mtu ni mjinga hapa. Alafu hata ukijumuisha mtwara, Tanga na Dar bado hazifikii Mombasa [emoji23][emoji23]
Kwani unajua kuliko TPA wenye wanasema Dar handles 16M tonnes of cargo?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]dar in over 20m na hii ilikua 2019 sasa tunaelekea 25m
mombasa inapakua mzigoa wa 29m tons na kuna vichochoro vya bearth 22 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hvi bado tunashindana humu ndani hata dalili yakua munaanguka kiuchumi hamuioni
leta ushahidi sasa π€£π€£π€£ nasubiria300 meters. Za Dar ni 150 - 180 meters.