Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ndio maana sisi tuna maisha mazuri kuliko majirani fulani wanaotamba na GDP yao ya mchongo. Nilikuwa ninajiuliza maswali mengi sana mbona hawa wanasema wana GDP kubwa lakini ukiangalia maisha yao asilimia kubwa wananchi wao wanaishi maisha duni sana tofauti na siye.
Njaa inaikumba nchi mpka vifo vinatokea. Wanapokea msaada wa chakula tena kwa nchi zenye jangwa. Sasa nimeelewa. (Sijaitaja nchi yenyewe lakini).

GDP kubwa kama hairelfect kwenye maisha ya mwananchi wa chini kumbe ni upuuzi mtupu halina maana, ni sawa na mtu uvae suti halafu utembee kwa mikogo barabarani kumbe hujala njaa ndio inakukula halafu useme nimependeza. Wakati huo huo kuna mtu kavaa kawaida lakini amekula milo yote 3 kwa usahihi.

Sychelles ni nchi ambayo haipo kwenye GDP kubwa lakini watu wake wanaishi vizuri nadhani hapa mkuu nitakuwa nimetoa mfano mzuri.

Kama ndio hivyo basi li GDP halifai tena kutumika kwenye hii battle. Sisi tunakula chakula mpaka tunasaza halafu wengine vyenye wanakukufa na njaa halafu wanasema eti wako juu yetu. Ahsanteni kwa kunifungua macho kwa hili. Yaani hadi nimewaonea huruma (sijawataja lakini)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
wazungu walipoona jamaa anaenez ukweli na ukatili ukraine wameamua kumfungia 🤣🤣
 
Sasa kwa akili yako unaamini hizo reports?, Lazima ziwe zinatokea katika "sources" tofauti, biashara Kati ya Tanzania na DRC inazidi kuongezeka kila mwaka, labda Corona iwe ndio sababu.
Ebu leta hiyo report yenye unaamini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mambo yanavyoendelea huko dunia.. kuhusu hii vita RussiaVsUkraine.. Russia ni bingwa.. kajipanga kila eneo.. sidhan kama imemuadhiri kama wengine dunian walivyoathiriwa
jamaa yupo full,vyote vinavyofanyika kuhusu vikwazo alishajua kuwa vitatokea kilichonisikitisha na kuyadharau haya mataifa makubwa wakina USA na vikanjanja wenzake yaani wamepiga mahesabu ya kitoto sana pamoja yakuwa na intelgensia kubwa ya kijasusi yaani walishindwa kabisa kujiuliza kuwa Russia kwanini imeamua kuivamia ukraine,

in reality USA na vinyago wenzake wamefeli pakubwa Puttin alikuwa ndani ya vichwa vyao ila wao wameshindwa kukielewa kichwa cha Russia wao wanategemea ushirika na kulazimisha mambo kwa kupitia ushawishi kwa nguvu matokeo yake ndiyo haya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…