Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi naongea jambo ambalo waziri wenu mwenyewe ananukuliwa akiliongea mbele ya bunge lenu. Sasa kati ya Waziri wenu na wewe nimuamini nani? Afadhali niamini waziri wenu.
Atakuambia huyo ni fake Mp[emoji23][emoji23]
 
ndio akili yako ilipoishia wewe ndio maana siku hzi sina muda wakubishana na wwπŸ˜‚πŸ˜‚
Do you know better than your government?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
"Kweli everyone is on his own" ndio maana mko disorganized hamna priorities when it comes to development. Leaders on their own citizens on their own also. Hata maghorofa mnayojenga kila engineer on his own na vipimo vyake ndio maana yanaanguka kila uchao.
 
Hiyo ni mali yake na anaruhusiwa kukata miti na kupanda anachotaka yeye. Hajavunja sheria yoyote. Halafu amenunua hio tea estate kwa pesa ndeeeefu. Yaani Tzshs 133 sio pesa kidogo. Wacha akate miti hio ni mali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…