Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ujue wewe ni tahira,kipi kibaya alichokisema gwajima ? mtu kaongea vitu vya msingi wewe unakuja kuongea utoto hapa,

yaani 5yrs unaiita long term plan,wewe si bure ni kichaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Taahira ni wewe na baba yako.Nimekwambia tuna vision inaishia 2025/2026 na Gwajima ka I site hiyo..

Utekelezaji wake unafanyika kwa k malengo ya kila miaka 5 na ina breakthrough kwa mwaka mmja mmja ..

Gwajima anataka iwe kwa miaka Zaidi ya hiyo..

As for me cha maana kabisa nilichokiona ni kwamba dira haijatungiwa sheria Ili kulazimisha regime kujikita huko,ndio jambo la msingi la kufanya sasa..

Hujaelewa afu unakurupuka tuu kama mkojo wa asubuhi.
 
wewe kafarr.. nadhan umekwisha pokea jib..

kisumo dalaπŸ‘‡πŸ½
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nye nye nye sisi tuna GDP kubwa ona aibu hii sasa
 
motivational speakers manyoa
 
sijui kama hii drone ni ya jeshi la kenya.. ila kama ni kweli.. wanawezaje kutuma drone afu wanashindwa kuwafata na kuwaua[emoji23]
ngoja nikwambie kitu bro hvo vita nyuma yake kuna wanasiasa wakubwa sana wanaofaidika na hvo vita hvo

trust me 🀣🀣🀣 na havitaisha mpaka dunia itasmama
 
si u know this vibe is only SA n' Kenya in this side of the sahara boo.! πŸ€™πŸ½βœŒπŸ½sisi ni wakali wa hizi kazi
 
Ninyi ni mataahira ukiweka hiki kibao maana yake unavyosema lane 2 (Nakuru 167km) iwe kweli hii lane inafika Nakuru maana yake kuwe na 4 lanes mpaka Nakuru

Mnasema lane 3 Eldoret 320km, lane 4 Mombasa 496km wakati kibarabara chenyewe mwisho km20 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa hizo multiple lanes with that huge distances what for? Wakunya akili zenu kama za mbu tu πŸ˜•

 
Umeuliza swali la kishamba sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Lakini tunaelewa hamna this type of infrastructure, so huwezi elewa about entry and exit ramps plus kutumia interchanges.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…