babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
Hatuna haja na hizo sijui big tech and supermarkets,sisi tuna deal na sekta ambazo tuna advantage kubwa.
I wonder why 😂😂
Uganda inanunua bidhaa nyingi kutoka Tanzania kuliko Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]Nipe example nyingine isipokuwa hio? Najua huna lingine. Hilo moja tu ndio mnalo.
Nenda kalilie chooni. Treni ya umeme tumeingoja leo mwaka wa pili ila hakuna dalili. Hata expressway yetu ilianza just the other day na ndio hii inakamilikaMwezi mbaya huo badilisheni mana itafunikwa vby na treni ya umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa ila habari nishawapa badilisheni mwezi cz itakuwa kama kituko kushangilia flyover mbele ya joka la umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda kalilie chooni. Treni ya umeme tumeingoja leo mwaka wa pili ila hakuna dalili. Hata expressway yetu ilianza just the other day na ndio hii inakamilika
That's not a flyover bongolala. It's an elevated expressway, the first of its kind in this regionSawa ila habari nishawapa badilisheni mwezi cz itakuwa kama kituko kushangilia flyover mbele ya joka la umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Express way costs $160M vs Tanzania SGR of $14B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kalilie chooni. Treni ya umeme tumeingoja leo mwaka wa pili ila hakuna dalili. Hata expressway yetu ilianza just the other day na ndio hii inakamilika
Hii expressway inawauma sana nyie mibongolala as if ni nyinyi ndio mtaigaramikiaMkiambiwaga huu mradi ni mkopo huwa mnabisha! Kwa hali hii Mchina hataweza rudisha fedha yake na GoK kama Guarantor itaibidi ilipe plus interest rates n capacity charges!! Endeleeni kuchezwa! I just wish to know kama ambulance na fire rescue zinaruhusiwa kupita free of charge incase of Emergency!
An elongated flyover of 8km vs electrifitried SGR wakunya tunawapea sleepless hadi raha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]That's not a flyover bongolala. It's an elevated expressway, the first of its kind in this region
Si ndiyo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Express way costs $160M vs Tanzania SGR of $14B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa wanamwagika vp wkt hii ni East Africa, au umesahau no need of visa, wa Afrika mashariki wamemwagika kila pembe ya Afrika mashariki wako free.Mganda youtuber mwingine ndio huyo Nairobi. Wanamwagika sana siku hizi.
Ina dominate nini? Kuwa specific, wachana na iyo tabiya ya kuwa king wa kugeneralizeWewe hujui Kenya inadominate ukanda huu ama lazima uambiwe?
Where did you read that Nairobi expressway's cost is $160m?Express way costs $160M vs Tanzania SGR of $14B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa uliuliza ya nini kma ulikuw na jibu lako kichwani?Ni urafiki upi wa watu kwa watu strongest kati ya hizi tatu?
1. Wakenya-Watanzania
2. Wakenya-Waganda
3. Waganda-Watanzania
Obviously number 2 ndio strongest.
Nani amekuambia kwamba lazima hawa watoto wafunzwe programming skills advanced sana? Python ni advanced sana, watoto wa college au university ndio wanasoma hio. Hii ni kuwapatia tu basic foundation in programming ili wakifika high school wawe tayari wana basics. Ukumbuke kabla ya kusoma object oriented programming languages kama Java au python mtu kwanza anaanza na simple structured programs kama C##. Ukielewa c## kisha unaweza kusomea c++ kisha sasa mtu asomee java au python. Halafu most of these programming languges hazihitaji internet connection, uwache kudanganya watu humu.Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
Ni $160m ila nyie mlipigwa kwa kuambiwa ni $500m na juzi wamepandisha mpk$800m barabara lenyewe halitumiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Where did you read that Nairobi expressway's cost is $160m?
Elongated flyover ndio nini?An elongated flyover of 8km vs electrifitried SGR wakunya tunawapea sleepless hadi raha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]