Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamaanisha hata mbwa anapitia magumu mengi wanayopitia kina govi depay?
Mbwa kachoka anataka kufa ila watu over 3 million in Nairobi wako kwenye poor slum wanaish maisha hata nguruwe hawez kuish
 
the more you address me in your conversion, the popular i become.thanks for indirectly assisting me reach my goals.i like it

matope! matope![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116]
Unajua jamii forum imesaidia sana hakuna mtanzania angekua Nairobi watu wanaishi maisha ambayo hats nguruwe hawez kuish, more than 10 slum tena zingine zikiitwa largest slum in the world hehehhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…