Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo huyo mwarabu ametoka jaba ako high adi hajui tofauti ya street view na streets πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
nauliza tena mombasa kuna streets kweli za kuita streets au hnajitaji aibu sasa hvi 🀣🀣
 
hii nayo ni kali sana mzee.. πŸ”₯πŸ’₯ hivi nimecheka yangu yote.... πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
 
hii nayo ni kali sana mzee.. πŸ”₯πŸ’₯ hivi nimecheka yangu yote.... πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½View attachment 2203706
hvi mombasa kuna streets kweli ??🀣🀣🀣 au unataka aibu tu sasa hvi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Alafu tukiongelea Street view, Mwingine hapa anakuja na zile za "mombasa hakuna streets" πŸ˜…πŸ˜…
 
Kenya still earns more on tourism revenue. 🀣 🀣 🀣 Activities za kutafuna viazi karai hazizowi pesa.
Hawajui tourists ambao wanaenda TZ ni vijana wa campus kenya wana hire gari waende after semester imeisha, alafu unacompare na europeans wako na budget ya 20 mil kufanya tour KenyaπŸ˜…
I used to do that business in campus, taking my colleagues for tours πŸ˜…πŸ˜…
 
Mpo zaidi ya 53M wataalam wa wb wameshasema,kwa mwaka wanazaliwa watoto million na zaidi uko kwenu
Kati ya WB na KNBS wanaofanya hesabu ya watu, nani wa kuaminika katika maswala ya idadi ya watu? Nyie pia mwaka huu mnahesabu idadi ya Watanzania mumezaliana kiasi gani. Sasa kati ya TBS na WB ni body gani ya kuaminika katika maswala ya kuhesabu watu?
 
Ni kweli ndugu. Education yetu ni shitty kiasi kwamba ndani ya mwezi moja Google, Visa, Microsoft, Amazon, Renault na Hyundai zimewekeza Kenya. Nakubaliana na wewe kabisaaa 100%.
Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
 
Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
lakini wana employ kenyans who lack insight. 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…