Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your buses are made in Kenya idiotπŸ˜‚

Products of MasterπŸ˜‚πŸ˜‚











 
Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
By the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.
Cc Simon.
 
Top of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?
 
Mwanza is an airstrip, niliona hii Video ya Sam Chui jana walifly from JKIA to Mwanza and back. Walivamiwa na wadudu mbaya sana. 🀣 🀣 🀣

Man that Astral plane is old it should be banned from Tanzanian space!
CC: @TCAA
 
Top of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?
Don't forget about LSHS which assembled some of their BRT busesπŸ˜‚

 
i'm seeing tanzanians, are realy trying to induce things while holding lots of hope and great faith..!. they're trying to force ends to meet by all means possible.. but kenya's growth rghtnw at 7%.! bongo watabaki kututazama kwenye viusasa
Wakati unawaza kwamba hamshikiki, nikujuze kuwa ule mradi LNG 40bill june initial sign will be made, bado kuna chapuo kubwa kweny bagamoyo thats extra 10bil, plus bomba la mafuta la Uganda hapo hujagusa vitu kma impact ya SGR,Bwawa la nyerere,upanuzi wa bandari unao endelea , unafikiri sisi kuwapita ninguvu inaitajika au mdaa tu? Tafakari
 
Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Nigeria wameshatinga $500 billion Jesus Christ. Halafu hapa JF huwa mnaichukia Nigeria sijui ni kwa nini. Wale watu wako aggresive sana mimi sina tatizo nao.
 
Tuta tuta tuta.
 
Achana na Wikipedia kijana πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We kichaa ulikua sitosoma hii taarifa au .. by 2019 Mwanza airport passenger number ilikua 350k+ na πŸ‘‡oky tuambie now hiyo 200k ya Tanzania bureau of statistics ulipata wapi.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ni ukurasa wako umeuanzisha.? Unajua data za 2021 ni 400k+
 
Top of my head naweza kukupatia two bus assembling plants. Kuna ile inayo-assemble Isuzu Nairobi na kuna ile inayo-assemble Scania Mombasa. Halafu Geza Ulole jana alinidanganya kwamba Tanzania ina-assemble busses kumbe ni uongo?
Okay okay, then how many bus companies do you guys have back home.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, 2 bus assembling plants <20 bus companies .. nyinyi ni maskini
 
Ebu leta data za 2021 tuone, na usilete Wikipedia tafadhali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
By the way nimepiga hesabu ya haraka kwa calculator ya simu yangu na nimepata kwamba Gdp ya hizi nchi kumi ni $2.19 trillion


Cc Simon
 
Ebu leta data za 2021 tuone, na usilete Wikipedia tafadhali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nataka kwanza kuanzia leo uachane na Tanzania bureau of statistics kwasababu sio reliable source, sawa we kilaza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, au ni account yako ulitengeneza mwenyewe .. dah.!!
 
Nataka kwanza kuanzia leo uachane na Tanzania bureau of statistics kwasababu sio reliable source, sawa we kilaza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, au ni account yako ulitengeneza mwenyewe .. dah.!!
I trust your government more than any of you here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…