Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh kwahio mtu asipojua Kiingereza, automatically hajui Kifaransa?!
Kiingereza kinatumika kuliko kifaransa. Jinsi huyo boya anavyounganisha Kiingereza hapa ndivyo anavyounganisha kifaransa pia
 
Kiingereza kinatumika kuliko kifaransa. Jinsi huyo boya anavyounganisha Kiingereza hapa ndivyo anavyounganisha kifaransa pia
Kiingereza kinatumika kuliko Kifaransa wapi? France?Belgium?Senegal? Huko nilikotaja ukiwaambia hivyo watakushangaa. Kuna mamilioni ya watu wanajua Kifaransa na hawajui kabisa Kiingereza.
 
Harambee ni slogan iliyotoka Tz.
 
Bwana Mapesa a.k.a kipara hebu tuambie umetoa wapi hii? And don't forget that "The reason why I posted my private life here it's because you requested for it next time if you want me to show even my nails I won't show you" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Poleni sana, sasa mmeshapata msaada wa crane kuja kuwalift hapo? By the way hayo ni mawazo ya majirani wanamuombea adui yao njaa.
Dah tulipata namna ya kuondoka though tulikawia kama lisaa limoja, nimeona nishuke hapa morogoro nipoe kwanza sijaonana na mpenzi wangu muda hivi, kwahyo imebidi nishike damu kidogo, then tomorrow nirudi DAR, siku mbili za kupoa na bebee hazitoshi, lakini majukumunayo. πŸ˜….. kusafiri na basi safari ndefu ni headache, but ni economy kwasisi vijana wadogo tunaoanza kujitafuta. Hizo treni za umeme zianze tu kwakweli
 
Huyu dada smaki kinachomsumbua ni nyege. Anataka ndume ya kumpiga mti. Ni nani atajitolea kumtoa kutu? Mimi nitawalipia chumba.

View attachment 2219015
Dugu Mtz!! akiona iyo umenkumbali mutu aarufu wake!! kwani hpana jui kuwa huyu ako nDume kabisa double sex!!.....au nataka utongozwe kichiasa??? halafu inakuwaje NDume zima ulipie NDume enzako

wakule tamu ambae wee! mwenyewe apo huko nyuma ...walah sipate taabu na mimie nakuja na team angu shughulikiwe brabara!! sema tu uko wpi tuwonane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…