Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamaanisha ile nchi jirani ambayo bandari yake mizigo yake mingi inaishia ndani halafu bandari yake inasifika kupitisha misaada ya chakula. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaminywa kimya kimya kabla sgr haijaisha,amini bro sgr yetu itakapoisha jamaa maumivu yatakua makali mno wanaweza hata kuifunga ile bandari yao 😀
 
TZ tumetoa airport 2 hapo,imagine abiria wanaoshukia KIA,zanzibar na JNIA wote kwa pamoja hapo sidhani kama jamaa zetu wa north wanaweza kufikia idadi yao,maana wao wanaishia kukariri abiria wanaotua JNIA tu
 
Mbona basement yake ni ya kijua kali namna ile?
 
Dar port will never compete with Mombasa.

View attachment 2220156

Most authors of these bias articles are silly Kenyans who are being sponsored by their failed government to run diabolical campaigns aimed at discrediting Dar es salam port.

Haziwasaidii sana, kwakua maneno bila vitendo ni ujinga. Wao wanaongea na kutuponda kila siku lakiji watu wakija Tanzania, hawaridi tena kwao - iwe ni utalii ama vyovyote vile.
 
Ndio wameenda kukagua mzigo nn maana umechelewa sanaa ,walisema mwez wa 4 mzigo unafika daah ila sema hawa trc waswahili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…