Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ How it goes from "hakuna infrastructure ipo Nairobi na haipo Dar" i show you and it gets to hamna chakula na maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mko na umama sana, i gotta give it to you πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We jamaa huna hata haya kuandika upumbavu🀣🀣🀣🀣🀣
 
ke gdp = tz+ug+rw+bu+ss gdps. thts wht u must knw pliz oo.!

it rings some resonance of
Russia vs NATO (us+br+ge+fr+ca+sp+it etc etc..)
 
fabricated by KEHAR.co.ke for instance..


kenya is where these type of Oil Tankers are fabricated and exported to the rest of africa including SA

View attachment 2223745View attachment 2223746
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣akili za kikunya bwana!🀣🀣🀣🀣🀣kwamba zulu land wanawategemea kwenye fabrication au sio
 
Sawa lakini si unajua Wana repatriate faida? Mwenye mradi hataki pesa ibakie Tanzania bali irudi kwao France
Hata wewe ingekuwa ndio TOTAL ungefanyaje? Wenzetu wako very nationalistic ku boost vya kwao for their own welfare hiyo ndio norns ulimwenguni pote.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni redtape ya makusudi numbers zimewashitua toka usingizi wa propaganda walizolishwa sasa wamekutana na reality check ndio maana wame resort back to old dirty tricks. Imgekuwa ni football tungesema wanajiangusha angusha hovyo ili kupoteza muda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…