Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATI kuna mchawi anajaribu kulinganisha Lupita na Diamond.

This is a new movie released this year.



 
imekua tena walijaribu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wanamuziki na Oscar wapi na wapi, labda kama mwimbo umetumika kwenye filamu.
Wacha mchezo. Wewe nakujua kama an intelligent person. Nimeuliza Diamond amewahi kushinda award gani yenye hadhi ya Oscar? Ni kiswahili huelewi au nini? Diamond ameshinda award gani ambayo ni comparable to oscar in terms of prestige?
 
source mama ngina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimeona scania gemilang sio tena south africa ni kenya ? manake najua zinatoka south africa na ushahidi nitakupa 🀣🀣🀣🀣
 
source mama ngina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimeona scania gemilang sio tena south africa ni kenya ? manake najua zinatoka south africa na ushahidi nitakupa 🀣🀣🀣🀣
Hizo basi zote zimekuwa assembled Kenya. Choose one that you doubt nikuprove wrongπŸ˜‚
 
Kenyans in the world map. If you ever watched this film I'm sure you noticed a Kenyan by the name Benjamin Onyango.







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…