Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When it comes to Pop culture Kenya has not mate in this region. Kwa SSA nchi ni tatu tu zile zikona pop culture imetambulika globally. Kenya, SA na Nigeria. Si kwa ubaya hizo zingine bado ni others.

Sasa hata kama money heist ambayo ni one of the most watched netflix series in the world na hundreds of millions of people wameitazama ina one of the main actress kwa jina "Nairobi" hizi ng'ombe za south zinapata wapi ujasiri wa kushindana na Nairobi kwenye pop culture?
Ndio huyu Nairobi kwa waliotazama money heist 👇 👇 👇


 
Waafrika hawamjui Lupita, wewe endelea kuwalamba matako wamarekani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika hawamjui Lupita, wewe endelea kuwalamba matako wamarekani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pengine Mwafrika mzee anayeishi vijijini kama wewe ndio humjui Lupita kwa sababu huwa hutazami filamu za kisasa kama black panther au star wars. Ila vijana wa kisasa kama mimi huwa tunazama filamu za kisasa. Wewe endelea kujifunza jinsi ya kutumia twitter.
 
Huku Tanzania Marais wote waliopita kuanzia Nyerere hadi Samia Suluhu wote wamesoma Shule za serikali, na Celebrities wote wamesoma Shule za serikali, wakati ninyi mkijinasibu ma kundi dogo linaloishi maisha ya kifahari, sisi tunajinasibu na kundi kubwa lenye kuishi maisha halisi ya kiafrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Kenya ni kawaida sana kusomea private schools. Sio lazima tufanane na usilazimishe tufanane. Mimi nilisomea private school katika shule ya msingi. High school na University ndio nilisomea shule ya serikali.

Kenya ni kawaida sana kusomea shule private hususan shule ya msingi. Kwa wale ambao wana pesa sana basi hata high school wanasomea private. Sio lazima tufanane. Kuna hata private university kwa jina USIU ya watoto wa matajiri. USIU kwa urefu ni "United States International University" na Vanessa Mdee mwanamuziki kutoka Tanzania kasomea huko kwa sababu baba yake ni tajiri


na pia tuna Strathmore university ambayo ni private na inaheshimika.
 
ATI kuna mchawi anajaribu kulinganisha Lupita na Diamond.

This is a new movie released this year.

View attachment 2227349

View attachment 2227350
Mchango wa Lupita Kenya na Africa kwa ujumla ni hakuna kitu, wakati Afrika nzima inajua Diamond, na mchango wake kwa Tanzania na Afrika hauna kipimo, ndio sababu wakenya kila siku wanasema ninyi ndio mumemfikisha hapo alipo, Tanzania sidhani Kama watu wameshasikia jina la Lupita

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wacha maneno yako, hivi unaweza kulinganisha mchango wa Diamond na Lupita katika bara la Afrika na nchi zao walizotoka?. Hivi Lupita ameifanyia nini Afrika au Kenya?.

Nani asiyejua mchangp wa Diamond kwa Afrika hasa EastAfrika na Tanzania?, Leo hii angalau wakenya mumeanza kusikiliza miziki ya Kiswahili na kuanza kuheshimu lugha ya Kiswahili

Wakenya wengi wamekua wakitaka Diamond kuwa karibu na Kenya ili kusaidia na kunyenyua vipaji vya vijana wa Kenya Kama anavyofanya Tanzania, siku zote waKenya humtaja Diamond Kama mwana East Afrika na sio mtanzania, nani anajua Lupita hapa Afrika zaidi ya Kenya na waafrika wachache?. Lupita is for Americans, Diamond is for Africans

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa utalinganisha Lupita ambaye hadi uangalie sinema ndio umjue na Diamond ambaye ni "household commodity in Africa?".
?, Wacha maneno yako wewe bwana mdogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sijawai soma comment ya kijinga kama hii since hii thread ianze. 🤣 🤣 🤣 🤣 Kusoma shule za serikali ndio kuishi maisha ya kiafrika? You need a brain transplant.🤣🤣🤣
 
Wacha maneno mengi. Hata mimi huwa sipendi jinsi Diamond anavyowatumia wasichana wetu wa Kiafrika na kuwatupa. Amelala na wanawake wangapi na kuwatupa?
Hao wasichana wengi ni groupies, wanapata walichokitafuta. kuna vijana wengi ambao ni wasomi na wenye mwelekeo lakini wanawakataa, wanataka vinavyo ng'aa, wakidhani vyote ni dhahabu.
Wengine hata amewapa mimba na kuwatupa? Halafu sidhani kama analipia hao watoto school fees wala kuwanunulia chakula wala kuwatembelea. Amezaa na wasichana wa Kenya, Uganda na Tanzania.
Kuhusu kutelekeza watoto hilo siyo sahihi ila mimi siwezi kusema chochote maana siyafahamu maisha yake binafsi.
Binafsi nafurahia mafanikio ya Lupita, mabinti wengi wanamuangalia kama nguzo ya mafanikio.

Kusema kuwa yuko 'successful' sana hiyo inategemea unapima nini. Mtu katoka kwenye familia ya kisomi na inayojiweza, huoni teyari ana msingi wa kupata maendeleo? Huwezi kumfananisha na Diamond aliyelelewa na mzazi mmoja, hata shule ya sekondari hakuweza kumaliza. Hata hivyo aliweza kutoka kuuza mitumba Tandale na leo anamiliki biashara kadhaa, na kuweza kuhamasisha vijana wengi Afrika. Kwangu hayo ni maendeleo makubwa sana.

Usiangalie kimo mtu alichofikia bali angalia shimo alilotokea - Pro Kabudi.
 
Hata wabongo wapo wanacheza movie . Soud anacheza movie China huko wala hana kelele
 
Sijawai soma comment ya kijinga kama hii since hii thread ianze. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kusoma shule za serikali ndio kuishi maisha ya kiafrika? You need a brain transplant.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu mko hapa kushindana ubora wa elimu kati ya Tanzania na Kenya, yn Govt schools (Tz) vs Private schools(Kenya).

Elimu ya Kenya ni ya hovyo sn ndiyo maana inazalisha Wakenya wapumbavu kama kina Bwana Mapesa, ***** master, NairobiWalker, na wewe shoga. Elimu yenye u afadhali huko Kunyaland ni ya private na unaweza kuona wakunya waliosoma private kama kina Tony254 wamestaarabika kidogo but wengi wenu mmesoma Govt schools zinazozalisha machokoraa na wahuni.
 
Usifananishe wabebwa kwa mbeleko na daimond ...huyo lupita ana bebwa na wazungu siyo yeye mwenyewe watz wengi tunasimama sisi kama sisi labda umfananishe Lupita na huyu zuzu wetu sa 100 maana naye anapenda kunusa matakoo ya wazungu sana tu
 
Sijawai soma comment ya kijinga kama hii since hii thread ianze. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kusoma shule za serikali ndio kuishi maisha ya kiafrika? You need a brain transplant.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni mtu mpumbavuSana 90% ya waafrika wanasoma shule za serikali, kusoma private schools hawazidi 2% , Sasa wewe unataka kusema maisha ghali wanayoishi matajiri kuwa ni maisha ya kiafrika?


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…