Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
Hahaha kwa hivyo bado unaumwa kujua kwamba Kenya ina gdp kubwa kushinda yenu? Pole kwa maumivu.
 
Wazo langu la kuwafanya wale Ng'ombe kuvutia Utalii naona limefanyiwa Kazi na wajanja..

Ngoja hapa Tanzania tuendelee kulala na kukariri kwamba utalii ni nyati pekee badala ya kuongeza products za Utalii..

Hongera kwa kina Museveni πŸ‘‡



 

Wewe hujanielewa, umetuonesha hivyo vyeti, lkn swali ni kwamba TUTAJUAJE NI VYAKO?

Hapa JF tunatambuana utaalam wetu kwa namna tunavyojenga hoja za kitaalam kwa umahiri na uweledi kwenye tasninia fulani.
 
Wewe hujanielewa, umetuonesha hivyo vyeti, lkn swali ni kwamba TUTAJUAJE NI VYAKO?

Hapa JF tunatambuana utaalam wetu kwa namna tunavyojenga hoja za kitaalam kwa umahiri na uweledi kwenye tasninia fulani.
Amini unachotaka.
 
Wenye akili wanachangamkia fursa ila Tanzania sasa sijui nini kinaendelea Kuhusu mamilioni ya Tani za Makaa ya Mawe tuliyonayo..

Hongera Botswana πŸ‘‡

 
Wewe kwanza umeenda university? Tuanzie hapo. Mwosha choo kama wewe huna haki ya kuzungumza kuhusu mambo ya university na wewe mwenyewe hujafika huko.
Mtanzania mwosha choo huwezi muona humu mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watanzania wote waliomo humu ni wasomi na most of us ni bachelor degree holders tena wenye kazi za maana tu na maisha yanayoeleweka unlike you guys humu wasomi wa bachelor humu mupo wawili au wewe pekeako..
 
Duh noma mzee.
 
Waambie wakuoneshe terminal yao mpya ya Kisumu airport alafu ufananishe na hii stendi
 
Stand za kinyama kama hizi zimetapakaa Tz nzima mzee, Magu was the real deal mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…