Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wakola mwanzo si walipigwa ban na FIFA..hii ni nn tena 🀣 ban ya pili au nn
Harambee stars huwa inaikandamiza Taifa stars kwenye mpira kila wakati. Sasa unaposherehekea hili ban usisahau hilo.
 
Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
Umeona wamama wakibeba vikapu za samaki Kwa kichwa wakivalia maleso hapo Kwa street za Kenya kama huko kwenu Dar?
 
It is better you ask for explanation rather than portraying your ignorance here. Air Tanzania hiyo figure uliyoweka ni new order ya ndege ambazo hazijafika ukijumlisha na ambazo tumeshanunua figure ni USD 2bn

On SGR we are building from Dar to Mwanza and Kigoma so figure yako uchwara ya USD 1.9bm kaa nayo ujifariji.

Dodoma is heavily under construction unlike Konza city a project of less than USD 5bn mnashindwa ku implement miaka nenda rudi.




Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu hapa ametuambia eti wanafanya big projects sisi hatuna any other big project after expressway. Anyway sisi hatuna kelele yet we are building three cities at a go.

Hii station ya ile snail railway? Ndio mnaita city? πŸ˜‚

 
Kama terminology ya ku modernise airline inakupiga chenga tuta discuss nini between us. Wewe endelea tuu na mitungi ya changaa inayoruka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hawa vilaza think we get excited about every little project that's happening in our country like they do. Tukianza kupost all the projects taking place on this country they'll just run mad!
Wacha kubweka bure hapa weka project za over 1bn USD tuanze kazi hatutaki project ndogo ndogo zinamaliza nafasi tuu humu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
So kwa hiyo list yangu yote umeona tu uguze vitu viwili ambazo zinakupa upesi?! πŸ˜‚ πŸ˜‚

What about the rest? The Bagamoyos et al?

Dodoma is a town that has been in existence since Tanzanian got independence. Konza City is a new city being built from scratch. At the moment, we are doing horizontal work. Laying down the necessary infrastructure before, vertical works begin.

Bongolala, most of the projects you posted here and nonexistent and the few that do you exist you overquoated the figures. Kubali yaishe.
 
Cheki mdanganyika, You cannot tell me what I can say or not say hapa jf.
Magufuli was stupid according to me. You don't have to subscribe to that. Kama alikua mungu kwako well and good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…