Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


So now umekubali kuwa land compensation inafanyika Tanzania?
Au bado utaendelea na ukondoo!

Hapo nilipost tu ya Dodoma, sijapost land compensation ya Dar Es Salaam, Morogoro na awamu zingine.

Upgrade MGR!
 
Built in Kenya by Kenyans for Kenyans.

Thank you Tusker FC for practicing "Buy Kenya Build Kenya"







 
Tukiwaambia Muweke maendeleo ya Konza city mnaweka nyumba mbili.
Kwako maendeleo ni nyumba tu? Barabara ya lami sio maendeleo kwa city inayojengwa from scratch? Mitaro za maji na sewage sio maendeleo? Fibre optic cables sio maendeleo? Nyaya za umeme kwanza ambazo zinawekwa underground sio maendeleo? Lazima uone majengo ndio ujuwe kwamba kuna maendeleo sio?
 

Wanadhani labda serikali kumiliki ardhi ni anytime serikali inaweza kukunyanganya hiyo ardhi bila land compensation yoyote.

Au huwa hawaelewi maana ya kulipwa fidia!
 
Look at this fool🀣🀣🀣🀣
 
Your BRT is not an expressway cause of the stations placed 200 meters apart. Gari inamove kidogo alafu inasimama tena. So what kind of expressway is that?
Unafikiri ni kila gari inasimama kila kituo? Kwenye terminus unaboard bus kuendana na stations zake, usifikiri kisa ni destination moja bas any intermediate station will be allowed to drop and pick, nope hii ni system na ndio maana imewashinda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nin kinakupa ujasiri kuponda kituo ambacho kipo pembeni ya mji ikiwa nyiny mlishindwa hta kujenga hicho kdogo kwaajil ya watu wa pembezon mwa jiji[emoji848]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
HAwa hawana akili, wanataka hata sehemu yenye population ya watu 10,000 kijengwe kituo kikuuuubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…