Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya neno " Financial guarantee on PPP?, Lazima kuwepo na madhara kwa serikali ya Kenya Kama hizo pesa hazitorudi, japo serikali haitoi pesa, lakini lazima itoe " financial security"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Spare me the lecture, instead, teach your fella who mysteriously hasn't grasped the concept by now!
Ningependa kuona budget yenu ya Education amabayo ni the most important element
 
😅😅😅
Acha ukora bana! Hakuna kitu kinachohusika na Elimu hapo nimeona tu Mishahara,na Kama unaleta mambo ya mishahara, leta mishahara inayohusika na elimu kama kulipa waalimu, acha kuleta mishahara ya wafanyikazi wa serikali kwa jumla..
You know what the funny part is?
Hata uongeze hayo mambo yoote na uongo zoote bado haifikii bajeti ya elimu ya Kenya 😅😅
 
Sasa ukishindwa unaanza kulia...pole joh.
endelea kufabricate angalau ijae 10 tn😅
Leta hata ya afya useme ni ya elimu
 
[emoji1751][emoji1751][emoji1751] coodip1 how many times will you be told that this was a PPP model? Anyway ulisema bila matusi so ill take that unauliza vizuri so jibu ni kwamba serikali ya kenya ilichangia ksh 0 kwenye hio project.
Hata irrigation schemes na dams unaweza ukajenga kwa PPP

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa ivo Moderna ni wendawazimu ku invest millions of dollars kwa mambo ambayo haitakuwa profitable?!! Waah hebu waambie wasifungue hicho kiwanda
Yani waache ku utilize capacity iliyopo kwenye kiwanda cha SA wamwage hela kujenga kiwanda Kenya utakuwa upuuzi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
sababu tu hiki kiwanda hakipo tanganyika.. otherwise ile kelele ingekua hapa.! jah forbid
Kwa ivo Moderna ni wendawazimu ku invest millions of dollars kwa mambo ambayo haitakuwa profitable?!! Waah hebu waambie wasifungue hicho kiwanda
😂😂Wakenya mnachekesha, South Africa imefunga viwanda vya vaccines kwa sababu hakuna wateja eti nyie mnajenga viwanda vya vaccines mtamuuzia nani? 👇

View attachment 2232160
Huyu Anafaa kutafutwa na Moderna ili awafanyie fiscal planning
 
Toa budget ya police na wengine ibaki ya defence tuu maana hata sisi ya police iko wizara ya home affairs na intelligence iko wizara nyingine

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jaribu tena uongo ingine
Mnajaribu kudanganya watu ambao wanaeza fanya utafiti mdoogo sana kupata ukweli..these are public documents!

Kwa ivo JKT inapata Tzs 386 billion wakati KDF inapata Kes 128 bn.
 
Huyo ni Mganda aliyeandika. Wacha upuuzi. Unapenda kuattack Kenya hata kwa mambo ambayo hayahusu Kenya. Huoni huyo mwandishi ni Mganda, hapo chini ameandika jina lake pamoja na email yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…