dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,685
....in the sense that all the Tech Giants in the globe at the moment are seeking to set foot onto the kenyan soil.... the likes of the recent Google, Amazon, IBM, Microsoft, Visa, Meta, Moderna and wht have u.. is just a clear testament.. as in, kenya is the in-thing at the moment, the nemesis of nigeria and southafrica..Sought after not sort.
Halafu sought after in what please expound kidogo kuliko kuandika maneno ya Kanga hapa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tulipiga kelele sana humu kwamba bila kuwa mkali watamuangusha. Thank God ameliona, alisimamie sana.Tuliambiwa tunalalamika.Ile nidham ya kutoka moyoni imeshindikana? [emoji23]
Sema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Usiwe nakawaida ya kubishana na ukweli mzeeSema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
Mkuu mtafute halafu tupatie mrejesho, kitu kimetulia utadhani ni imported. TZ tuko vizuri sana kwenye ubunifu. [emoji109][emoji109]How ever did this, namtafuta kuna kazi tutaibidi tuifanyeView attachment 2233150
Huu ni ukarimu wetu,utamaduni wetu,utu wetu.Huyo Tayo aliwahi sema Tanzania kuna aina zote za hali ya hewa ukitaka equatorial , sijui dessert na zinginezo . Pia bahari , milima , wanyama na utu . Kina youtube video moja niliona kaenda Zanzibar yule mwenyeji alipokua anawatambulisha wafanyabishara wa forodhani huyu mgeni toka Nigeria anashang'aa anapewa msosi haonje for free akawa anashangaa . Kumbe kibongobongo mgeni kupewa msosi ni kawaida sana
Hapo Kunyaland police ipo under interior ministry too!Police iko under home affairs. 🤣 🤣 🤣 🤣 That's a confused country.
Acha kuokota picha hovyoHii pugu station inakaa choo ya kanjo Nairobi [emoji23][emoji23]View attachment 2233144
Nadhani hivyo vyakula vya kwenye makopo ndio zimeharibu akili zao they cant think straight.Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Lete aerial ya Konza hapa achana na vipicha mojamoja vilivyopigwa upande upande.Compete with Tatu City at your own risk.
Uwachage madharau!I said I am not sure. Sasa hio ni kuidharau aje? I just don't have enough information about Egypt ndio maana nimeiweka kando. But in Sub Saharan Africa (excluding North African countries), Kenya ndio ina second highest mall space, according to this 2017 Knight Frank report.
Kuna jirani ataona wivu!Tanzania is the most Youtubed African destination
1 million views on spot just because it's Tanzania
Tulimwambia huyu mpumbavuu alidhani JPM mpumbavu kumbe mpumbavu ni yeye kwa kudhani uongozi ni sawa na kuimba taarabu na kutingicha makalioIle nidham ya kutoka moyoni imeshindikana? [emoji23]
Huyo akaimbe taarabu tu ndiyo kazi anaweza .....sasa hivi nidhamu imetoweka serikalini kabisa
Kabisa mkuuMkuu mtafute halafu tupatie mrejesho, kitu kimetulia utadhani ni imported. TZ tuko vizuri sana kwenye ubunifu. [emoji109][emoji109]
Actually it's safe to say wanakula mizoga, wazungu wanakula nyama hata hawajui imetokana na mnyama gani, wanakula mapooza, very sad hawa nyumbu wasio na akili wanavyotuaibisha wa AfricaStill mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka