Kenya ipo zaidi ya 90%. Nyie hakuna siku mtawahi kutushinda kwenye mambo ya teknolojia.Communication Penetration imefikia 69% ya Tanzania yote..Kenya wekeni yenu hapa tuone 👇
View attachment 2234146
View attachment 2234148
View attachment 2234149
View attachment 2234150
ila nimegundua ninyi wa watanyika wote humu, mnapenda sana kuji console, na kuona ni kama nchi yenu ni bora kushinda kenya karibu kwa kila kitu... ila ukweli kwa ground ni hivi kwamba kenya ndo nchi bora kati ya hizi nchi mbili. hali ya maisha generally tuko mbele ata utafiti ukifanyawa saahivi na watalamu wawili tofauti.Wewe unajua $124bn kweli au unaiona kwenye makaratasi tuu? $124bn njaa nchi nzima, water supply mtihani, living conditions worse Hapa nataka kuwa specific namaanisha slums, hela ya miradi hakuna bila kukopa ama PPP kweli utasema una uchumi mkubwa hapa au ni uchumi unaotembea na vipande vya mavi matakoni.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dah Yaani midege inatua kama ugomvi 😅😅😅Si mnayafanyia desalination mzee
Ebu pata uhondo Kwanzaa wa seronera👇
Kwaiyo ni cheaper ku import chakula kuliko kuzalisha ndaniDesalination is too expensive and consumes too much energy.
Huu uchungu wote ni wa nini? Unaongea kwa uchungu eti kwa sababu gdp ya Kenya ni kubwa kushinda yenu? Pole kwa uchungu.Wewe unajua $124bn kweli au unaiona kwenye makaratasi tuu? $124bn njaa nchi nzima, water supply mtihani, living conditions worse Hapa nataka kuwa specific namaanisha slums, hela ya miradi hakuna bila kukopa ama PPP kweli utasema una uchumi mkubwa hapa au ni uchumi unaotembea na vipande vya mavi matakoni.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unless bore-holes nyingi zichimbwe katika kila eneo. Kuna maji mengi chini ya ardhi huko Turkana. Lakini mito hazipo.Kwaiyo ni cheaper ku import chakula kuliko kuzalisha ndani
We Tanzanians work smarter while Kenyans work harderHuyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.
kwani mkuu, umesahau hii nyumba niliyo ipost humu, hapo awali.. infact nilipata 12likes👍🏽 from wabongo humu, na hivi kwamba hii nyumba iko 'levels'....Jifunze kwanza roofings za Tanzania most preferable, sababu ni tofauti na zenu kabisa, paa zenu ni fupi na flat tofauti na za Tanzania zinazoenda hewani sana, ukileta hizo designs Tanzania hutopata mteja
Kingine roofings zenu zipo simple and plain tofauti na Tanzania zipo more complex
Dom
Ni kweli kabisa, mimi pia nlishatumia maji ya chupa kuogea. Ntajaribu beer ya Heineken.Hahaha 🤣 🤣 Unachekesha sana. Eti mnatumia maji ya chupa kuogea?
Yeah hapo tutaanza kukuelewakwani mkuu, umesahau hii nyumba niliyo ipost humu, hapo awali.. infact nilipata 12likes👍🏽 from wabongo humu, na hivi kwamba hii nyumba iko 'levels'....
nb: i adopted a 37° Roof Pitch
View attachment 2234283View attachment 2234286View attachment 2234282
Public toilet umeipeleka mbali sana na dining na sitting room inatakiwa iwe easily accessible na mgeni! Ilipaswa ikae hapo kwenye bedroom #1kwani mkuu, umesahau hii nyumba niliyo ipost humu, hapo awali.. infact nilipata 12likes👍🏽 from wabongo humu, na hivi kwamba hii nyumba iko 'levels'....
nb: i adopted a 37.5° Roof Pitch
View attachment 2234283View attachment 2234294View attachment 2234282
mwambie alete za mombasa uone kama hawakukimbia 😂😂😂😂😂Mwanza beautiful streets 👇
View attachment 2233238
View attachment 2233242
View attachment 2233246
View attachment 2233247
View attachment 2233248
View attachment 2233250
View attachment 2233251
View attachment 2233255
View attachment 2233257
View attachment 2233259
View attachment 2233262
View attachment 2233264
View attachment 2233266
View attachment 2233267
but this Roof is within the BS Standards requirements of a 22.5° Roof Pitch. and thts wht we adopt in all government builds eg. schools, hospitals, markets etc. And thts why the same Roof Pitch is applied for private development in kenya. we are following the British Standards.. and for which case Tanzania also use BS in all engineering classes, be it electrical, mechanical or civil engineering.Yeah hapo tutaanza kukuelewa
Ipo tofauti na nyumba zenu majority ambazo zipo na almost flat roof
View attachment 2234295
View attachment 2234296
View attachment 2234297
Tumewazidi namba of mobile and internet users..Kenya ipo zaidi ya 90%. Nyie hakuna siku mtawahi kutushinda kwenye mambo ya teknolojia.