Indeed atleast mmeipea jina ya heshim barack obama drive
Rafiki yetu ang'aka kuskia bank of China Zambia! Ni mambo ya kawaida benki huwa zinajulikana functions zake na hawalazimishi watu kufanya nao biashara!Kuna Bank Tatu Za Kichina bongo ninazozijua na moja ile IT plaza naona ndio iliyofulia.
View attachment 2235179
Zingine
1. Bank Of China ipo Tanzania toka 2016 Amani Place Opposite Serena Hotel.
View attachment 2235173
2.China Dasheng Bank Ltd ipo Ex Telecom kuna Branch Pale chini
View attachment 2235174
3.ICBC (Industrial and Commercial Bank of China ) aka stanbic bank [emoji41]
View attachment 2235176
Baba hehehehe...!!Geza Ulole naomba "Comments" zako katika huu mjadala wanachozungumzia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Halafu wasichojua hawa wakunya kuna plan ya kujenga bus terminal nyingine Mbagala kwa mabasi ya southern bound Tanzania! Wasipokaa vizuri itajengwa terminal nyingine wao wakiendelea kubishia Magufuli bus terminal!Magufuli bus station can hold 3456 buses and 200 private cars
Tanzania: Magufuli Bus Terminal Project Set for Completion in June
THE Magufuli Bus terminal construction project in Dar es Salaam is set to be completed by June this year, the parliament was told on Wednesday.allafrica.com
Oshodi can accommodate 820 buses
Oshodi Transport Interchange, A World Class Terminal In Lagos - TravelWaka
Oshodi Transport interchange is the Biggest Bus terminal in Nigeria and West Africa. It is also one of its kind in Nigeria.The Oshodi transport interchange is a world-class bus terminal in Oshodi, Lagos State, Nigeria. It is a multi three-story facility featuring three separate terminals linked...www.travelwaka.com
Sasa wewe do the maths yourself kama umeenda shule.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndege za samia zimeishia wapi si alituambia kanunua cash ndege mpya 5 zitakuja tz. Mbona imekuwa kimywa sana
Alafu wanasema wana free education primary na secondary🥲🥲🥲 nchi inatia huruma hii
NSSF ni independent from Central Goverment..Ikijenga chochote lazima serikali kuu iilipe..Lasivyo mafao yatakuwa yanatumika ovyo..Tunataka zifutwe sio kupunguzwa.Nssf ni ya nani?
Huo sio umbea ni ukweli ,wachina ni wanyonyaji pia, kuchafuana kwao ndio heri yetu kama waafrikasasa mbona unashadadia umbea wa media ya mnyonyaji mmoja? Unaijua Glencore wewe? hawa wanagombania tonge kwahiyo wako busy kuchafuana!
Nationalizing Zambia's copper mines
The Zambian government has taken over operations at a major copper mining company in what is seen as a move towards increasing its direct control of the key mining sector. Economists are urging Lusaka to tread carefully.www.dw.com
Ndege mpya zinachukua 1 to 2 years kujengwa kisha ndo unafanyiwa delivery ..so expected ni 2023Ndege za samia zimeishia wapi si aliyuambia kanunua cash ndege mpya 5 zitakuja tz. Mbona imekuwa kimywa sana
TICTS kachukua crane nyingne aim ku improve efficiency wanakuwaga na average ya ku handle 500k to 600k TEUs kwenye berth zao tatu..lets see mwaka huu ..wanasemaView attachment 2235316View attachment 2235317
Vijisababu visivyo na maana! Nani alikuambia kwamba malls kunauzwa tu vyakula pekee yake? Ushamba ulioje huu! Kama ni masoko tunazo tena nyingi sana ukitaka picha sema uleteweStill mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Hawa vilaza kwa visingizio hawajamboSema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
Ila kigezo cha benki yenye jina la China kuwa sababu ya unyonyaji kinaleta Utata ukizingatia zinafanya kazi under regulations of a specific country! Sema wewe binafsi unachuki na wachina maana Wazambia wenyewe kwenye clip wanasema uwepo wao umesaidia!Huo sio umbea ni ukweli ,wachina ni wanyonyaji pia, kuchafuana kwao ndio heri yetu kama waafrika
Ndio serikali ilipe sio kututoza sisi kuwapa Nssf,hakuna sehemu tulikubaliana watutoze.NSSF ni independent from Central Goverment..Ikijenga chochote lazima serikali kuu iilipe..Lasivyo mafao yatakuwa yanatumika ovyo..
Nssf Ilichangia asilimia 60 kujenga kigamboni bridge so lazima warudishe hela yao ..unless hutaki mafao mzee
also slums of the most sophisticated economy in the continent, Mzansi. that 99% of tanganyikans dream, hope and pray🙏🏽 of going everyday.!
hawa jamaa mpaka wachimbwe biti ndo wafanye modernization?TICTS kachukua crane nyingne aim ku improve efficiency wanakuwaga na average ya ku handle 500k to 600k TEUs kwenye berth zao tatu..lets see mwaka huu ..wanasemaView attachment 2235316View attachment 2235317