Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beer inaanzia 1300 na kuendelea, ndio maana Wakunya mnazamia Tanzania kusaka beers za mteremko
Zile ni viroba ndugu, zile sio beer. Ndio maana zinauzwa huku kimagendo. Eti upatikane unakunywa sijiu Serengeti! Ndani lazima utalala
 
Nin kinakupa ujasiri kuponda kituo ambacho kipo pembeni ya mji ikiwa nyiny mlishindwa hta kujenga hicho kdogo kwaajil ya watu wa pembezon mwa jiji[emoji848]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Tulishindwa? 😂 😂 Bongolala, we got 9 standard sgr stations while you got only one. Sasa kati yetu na nyinyi nani alishindwa?

Secondly, we have so many mgr stations in Nairobi, something that you don't have.

Our mgr stations are way better than that joke of an sgr station called Pugu. Hiyo Pugu unaweza hata linganisha na hii kituo cha Syokimau Railway Station?
 
Ndege mpya zinachukua 1 to 2 years kujengwa kisha ndo unafanyiwa delivery ..so expected ni 2023
Mbona atuoni zikiwa matengenezoni kama zamani tulikuwa tunaonyeshwa hatua kwa hatua
 
Tanzania land competion hakuna juu serikali inamilili ardhi yote!
Tsh 22b is pale shadow of ksh...!
Bla blaa za ukondoo.
Next?
kwani is it a lie? Is Tsh 22b the same as Ksh 30b? Feelings peleka Tandale...
 
Hawa vilaza wawe na subra wangoje the official commissioning of the road by the president next month. We will spam this thread with thousands of pictures showing cars on the expressway hadi watamani kujinyonga
 
Ndege za samia zimeishia wapi si alituambia kanunua cash ndege mpya 5 zitakuja tz. Mbona imekuwa kimywa sana
Zinatengenezwa unafikiri kununua ndege ni kama kuagiza githeri au mokimoo? Nenda site ya boeing utaona order ambayo iko anonymous 1 dreamliner 787, 1 freighter 767, 2 737 max and an additional Bombardier Q400

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…