Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nataka unioneshe nyumba za Wakenya wa kawaida, mm naanza na nitakuletea picha zaidi. Twende kazi nyumba za Watz wa kawaida ndani ndani kabisa [emoji116][emoji116]
 
Dar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. 🤣 🤣 🤣
 
Mimi nilifikiri ni kama kula rojo unguja[emoji1787][emoji1787]
 
Umezidiwa ukaona heri ubadilishe gear hewani! 😂 😂 Nenda Syokimau, Utawala and Ruai (mnayosemanga ni slum) among many other places. Nyumba Kama hizo zimejaa, tena za quality bora
 
Dar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tz utumbo au patikani kwenye mabucha labda sehemu chache sana buchani uwezi kukuta utumbo ,pia hapo labda ni nje ya machinjio ndiyo kuna mambo kama hayo
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nigeria hakuna sundrop. Dar tunaijua vizuri sana, hata kama ni umaskini, yani hamuwezi uza nyama kwa butcher.
Tz utumbo atuuziii buchani mara nyingi una vibanda vyake vya kuuzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…