Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa picha kama hizi mbili za Ruai zikishawekwa hapa ni mazingira gani tena unataka kuona kando na hii? Ama mazingira ni nini?

Ama unadhani kwamba Nairobi pia ni jiji la uswazi?
 
Sasa picha kama hizi mbili za Ruai zikishawekwa hapa ni mazingira gani tena unataka kuona kando na hii? Ama mazingira ni nini?
View attachment 2235626View attachment 2235628
Ama unadhani kwamba Nairobi pia ni jiji la uswazi?
Hizi umepiga kwa mkono wako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. 🀣 🀣 🀣
Wakati Nairobi wanakufa njaa kila siku hasa kwenye slums, Tanzania kwenye informal settlements cheap foods zinapatikana mpaka barabarani, hii ndio tofauti yetu na ninyi wafa njaa.
 
sasa oneni vile thika highway barabara ilivo kabla ya zile filter zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

no filters 🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 2235458View attachment 2235459View attachment 2235460
tanganyika nyinyi mko na shida aky. na hii sio mara ya kwanza.... hivi mtanganyika akiona ajali kenya anafurahia sana, angulia kicheko na kupiga sherehe.. inakua ni bonge la party ndo manaake.
na hii tabia pia inakuaga sana pale kwenye facebook na twitter. wah.! wabongo.. πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…