Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Ukiwaambia ukweli hawasikii. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaah kwa Dar ulikua sahihi ila sio Tz yote
 
mbona una panic sana [emoji23][emoji23] nilisema hii habari haiwezi kua nzuri kwenu au hukunielewa
Amekuelewa ndio maana ukaona povu limemtoka. Ukiona kiingereza kingi ujue umegusa kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bandia lakini hizo F5 zenyu zimeachwa mbali sana.
Yaani hamna chochote mjachojua humu zaidi ya uongo wa kijinga na ubishi wa kikunya.
Endelea kulazimisha udongo kuwa unga.
Hizo ndege bandia zimekataliwa dunia mzima, na zinauzwa kwa bei ya kutupa. 🤣 🤣 🤣
 
Sasa ona unavyoongea ni kama huna akili. Kenya ina 17 fighter jets. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Haya uliyoyasema mengi yamo ndani ya Katiba ya Sasa, machache ambayo hayamo, Wala hayahitaji kuandika Katiba mpya, yanahitaji tu kufanyiwa marekebisho na kuingizwa ndani ya Katiba ya Sasa.

Mkuu, Katiba ni kitu hai ambacho kila siku au mwaka Kuna mabadiliko hutokea, ni lazima kuyatoa na kuingiza mapya ili kukidhi matakwa mapya ili kujibu changamoto mpya.

Mkuu, Katiba mpya sio muarubaini wa matatizo, Kenya waliandika Katiba mpya, miaka kumi baadae wanaona haina maana kwasababu haikujibu shida zao wanataka ifanyiwe marekebisho(BBI).

Mkuu, Katiba ni Kama binadamu, akishazaliwa, wazazi wanapaswa kumlea, kumtibu pale anapoumwa na kumrekebisha pale anapokosea, sio kumuacha na kuzaa mtoto mwengine.

Mkuu, unaweza kunipa mfano wa nchi yoyote ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo, umoja, utulivu na mshikamano hapa duniani kwa kubadili Katiba?.





Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi expressways na SGR yenyu usisahau ni vitu vya kichina so usisahau kuweka hayo maandishi ya mwisho ya "how it usually ends"
SGR na Expressway zitaenda vita ama? Infrastructure kama hizo wametengenezea nchi mingi lakini ikifika kwa ndege za vita dunia mzima imekataa. 🤣🤣🤣 Ni nyinyi tu na nchi kama bangladesh ndio wateja wao. Yani hata France wanauza ndege mingi za kivita than hizo ndege bandia.
 
Wacha kujiliwaza, tafuteni fighter jets za kisasa Dunia imebadilika Sana, Teknolojia imebadilika Sana, achaneni na hizo scrapers

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi si unaona wameambiwa live bila chenga mbona hamumsifii kiongozi mkuu?Wakuu wa mikoa na Wilaya watakuwa wameona ya nini kusifia ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…