Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo ndio huwa nashangaa, nimempa ushahidi kutoka mpaka UN kwamba Tanzania ipo mbele yao kielimu, anasema haiziamini hizi statistics πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wengi humu wamesoma sana hata kunishinda, sema tu bado hawajaweka wazi vyeti vyao. Kumbuka hakuna Mtanzania isipokuwa wewe aliyewahi kuweka vyeti vyake humu. Kwa hivyo pia nyinyi hamjasoma? Au unamaanisha nini? Sio kila mtu anayetaka kuweka vyeti vyake wazi.
 
Tatizo mnakula kuku halafu nguvu zote mnazipeleka kwa choo. Bado tunawapiga kwenye michezo na mambo mengi tu.
I never understood the reason behind the fired chicks feelings until I saw this πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Doh poleni, huku kuku wala sio chakula cha kumbabaisha nacho mtu!

 
tuusan.... heb ona.... gdp ya kenya ni $114b because if gdp grew by 7.5% last year, then:


If;
$106.2b Γ— 107.5/100% = X

:. X= $114b.!!
kama tanzania mwaka jana ilikua kwa asilmia 4%, then;

If:
$67b x 104/100% = y

:. y = ...? (do the math please.....)
 
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread

Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kuna kipindi ulisema the only one kumbe ndio yule Jamaa wa MASENO ? 🀣 Duh, noma sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…