Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„View attachment 2245898View attachment 2245899View attachment 2245900
001 moja hiiπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Haibadilishi ukweli ulio dhihirishwa wazi wazi na picha za satellite., Tz mnabaki nyuma sana kwa urefu na upana licha ya haya kwa Kenya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,hamjikomboi kabisaaa., kama mko sawa leta hizo sehemu tuchambue kwa kutazama maeneo yote kupitia google earth, hakuna filters, ni raw imagesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Labda nikueleweshe kitu kimoja 😁
1.Tanzania hatuna mazingira ya hivo hata hayawani anapokaa afadhali 😁😁😁wakenya man hali ngumu 😁😁
 
Wan wako tayar kutujengea uwanja..lkn kwa mkopo.. so ni sis kukubaliana nao kwenye huo mkopo

Sikiliza kuanzia dkk ya 34 (qatar-vifaa) au 35 (china-uwanja)
Kumbe ni ombi letu, sio ombi lao
Sawa sio mbaya ...ni plan nzuri as long as unarudihsa polenpole..kama intrest rate ni zuri..mikopo inasaidia kufanya projects kubwa at once
 
Aisee eti wana viongozi 🀣🀣🀣🀣🀣
 
And imagine that they usually call Githurai a slum. Kama hiyo hapo juu ni slum, zile uswazi zao tutaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…