Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani bei ya basi moja sh ngapi kama kwa siku wanaingiza hela ya kutosha kununua basi moja kwa mwaka ni mabasi kama 300 sasa katika akili ya kawaida tu hapo hasara inatoka wapi ...ngoja nicheki bei ya basi moja sh ngapi
Your BRT is running at a loss.
 
Your BRT is running at a loss.
according to mama ngina? 🀣🀣🀣 hvi kuna kitu gani kenya kinatengeza faida ??

ww BRT inakuuma sana kwasababu hamuna na hamutakua nayo miaka 50 ijayo mark my words πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani unacompare manzese na eastland?izo ni desperation...manzese jaribu kuifananaisha na mathare
Mathare ni slum. Ama leo umekubali rika ya Mazense ni Mathare slum? πŸ˜‚
 
Umeongea kishabiki sana. Mwanza ndio mji wenu wa pili kama ilivyo Mombasa huku kwetu. Hebu nitajie maendeleo ambayo ipo Mwanza haipo Mombasa kwa sababu nasikia Mwanza nayo ni 'jiji'
 
Yaan



Yaani ni whatever angle, iwe through google earth or street level panapendeza
Eti mtu yupo busy anacompare Mombasa na Mwanza!!! πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wapi na wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…