Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uharibifu wa mashamba ya gharama (greenhouse n irrigation systems) au kwa vile Chato hamna, hotelI, club billicanas na Tanzania Daima je? Kisa Mbowe mpinzani?

Je uporaji wa fedha za wenye bureau de Change haswa Arusha na Moshi? Au kwa vile Chato na Mwanza hamna?

Huku akiharibu tourism Industry Arusha na Moshi kwa wivu, alikuwa busy kujaribu kuhamishia kizuri hicho Chato! Mara ajenge ferry Chato, Mara aanzishe Mbuga Chato! Mara ajenge international Airport Chato, mara alazimishe TANAPA kujenga hoteli Chato! Viko wapi?
 
Toa ujinga wako wewe,alijaza watu wa kabila lake kuanzia DSO,RSO,DED na DC nk ..

Waliokuwa chawa wake ndio walipata nafasi wakitoka sehemu tofauti na Kanda ya Ziwa...

Huyo mtu wenu ndio alipanda mbegu ya ukabila Nchi hii.
 
Hayo ni mawazo yako mkuu na tunayaheshimu ila jpm alikubalika ndani na njee ya tanzania na ilo lipo wazi bila chenga
Nje wapi alikokubarika ilhali hata tuzo yeyote ya appreciation hajawahi pata?

Nje wapi alikokubarika ikiwa hajawahi kuwa nomitated kuwa mjumbe wa Taasisi yeyote hapa Africa na Duniani?

Wajinga ndio walimkubali ila sio watu wenye akili na wanaojielewa..
 
Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does not go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
 
We jamaa huwa ni kilaza tu wewe, no wonder watu wote wanakudharau humu ndani, unaropoka alaf still unapost miradi aliyoitengeneza Magufuli .. kwa bahati mbaya sasa hakuna unaweza post ambacho tz tunajivunia ambacho kwasasa kisiwe kimefannywa JPM, taja barabara, taja masoko,taja stendi, taja Afya, taja utalii, taja Maji, taja umeme na kila kitu Magufuli ndio Mwanaume alithubutu kutekeleza hivyo vitu kwa ukubwa zaidi ya Raisi yeyote yule kuwahi kutokea hapa Tz
 
Wewe wacha kuvuta bangi. Kenya wakati huo hata kama tulikuwa na uchumi mbovu bado tulikuwa nchi imara sana kiusalama. Moi alikuwa hana ujuzi wowote wa kiuchumi lakini area moja ambao alikuwa perfect ni eneo la usalama. Nchi ya Kenya wakati wa Moi ilikuwa ni salama sana. Sisi ndio tungewapiga, nyie hamngeshinda hio vita. Pamoja na uchumi mbaya, kiusalama Kenya ilikuwa dhabiti.
 
Umesema maneno mazuri sana Bro
 
Mkuu, wafanyakazi serikalini hawazidi 1M, wakulima ni zaidi ya 30M hapa Tanzania, mbona sisikii ukizungunzia maslahi ya wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania badala yake unazungumzia maslahi ya watu 1M ambao ni chini ya 2% ya watanzania wote?, hivi unadhani nchi hii inajengwa na wafanyakazi wa serikalini pekee?.

Mkuu, sisi wote tulishawahi kuitumikia serikali katika nyadhifa tofauti, Kuna tafiti zilionyesha kwamba, wafanyakazi wengi serikali wanapaswa kulipwa 30% ya kile wanacholipwa kwasababu wengi wanaofanya kazi, wanazalisha 30% ya kile wanachopaswa kuzalisha.

Tafiti hizo zilizofanywa katika utawala wa Kikwete zilisema kwamba, utendaji wa kazi serikalini hauwezi kuongezeka kwa kuongeza mapato, Bali kwa kuweka usimamizi mzuri kwasababu hakuna utamaduni wa kupenda kufanya kazi kwa kujituma.

Mkuu, mishahara imekua ikiongezwa kila baada ya vipindi kadhaa toka enzi za Nyerere, lakini ufanisi maofisini haukuwahi kuongezeka *accordingly". Lakini pale ambapo usimamizi umeongezeka, basi ufanisi umeongezeka kwa Kasi Sana bila hata kuongeza mishahara, kumbuka uongozi wa Augustino Mrema, Keenja alipokabidhiwa Jiji la Dar es Salaam, na Utawala wa Magufuli, hiyo ni baadhi tu ya mifano.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Rudisha ongezo la mshahara ulilopewa basi!
 
Wewe ni fala na hao mnao mnaojazana ujinga huku mkikenua,ntaendelea kuwapa vitasa hadi mpasuke kwa kuchukia.

Failures kama wewe na huyo mnaemwabudu huwa mna excuses nyingi sana..

Nauliza tena Samia kawezaje kufanya yoote yakiwemo miradi na kujali welfare ya watu?

Jibu ni kwamba Tulikuwa tunaongozwa na mjinga..

Miradi ya Magufuli πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

Attachments

  • Screenshot_20220605-133355.png
    209.6 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220605-144549.png
    85 KB · Views: 37
  • Screenshot_20220605-144718.png
    69 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220605-144850.png
    66.5 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220605-144839.png
    132.7 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220607-200758.png
    113.1 KB · Views: 38
  • Screenshot_20220607-215106.png
    167 KB · Views: 40
  • Screenshot_20220607-223233.png
    201.3 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220607-223143.png
    257.3 KB · Views: 41
  • Screenshot_20220607-223251.png
    165.4 KB · Views: 37
Watu wasiofika ht 2% wanakula nusu ya mapato ya serikali...hii sio sawa.
Tunaserikali yenye wafanyakazi wengi wasio kazi za kufanya na wengine wanaproduce less than 20%.
Infact nna washkaji zangu wapo serikalini now wame abandon post zao ili wafanye mambo yao, wengine wapo Moro na Singida wanalima, wengine wapo Dar wana fanya mishe zao and still wanapata salary km kawaida. Ukiwauliza wanakwambia Mzee alibana sana wacha wapumue. na bado wanalilia mishahara ipande.
 
Nchi ilikuwa ime stack ,kila sehemu madeni yamejaa,miradi inasua sua hakuna pesa, uchumi umesorora na upuuzi mwingine..

Kazi kubwa ya yule bwana ilikuwa ni kupambana na wakosoaji,kufanya maigizo ya kipuuzi na kutafuta sifa za kijinga huku Hali ikizidi kuwa mbaya ...

Tunamshukuru Sana Mungu kwa kutuondolea like balaa maana tungekuwa kama Zimbabwe,sasa Nchi iko kwenye msotafi na tunayembea kifua mbele.

😬😬 Devidends kama hizi Mwendazake kwa kupenda sifa za kijinga na kukosa Kazi angeitisha kikao Ikulu eti anapokea gawio πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-215028.png
    151.7 KB · Views: 42
  • Screenshot_20220606-215045.png
    117.2 KB · Views: 38
Hakuna miradi mipya,miradi ni ya Magufuli πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ujenzi wa Bwawa la Farkwa wazinduliwa..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220607-222522.png
    182.6 KB · Views: 40
Baadhi ya Mambo hapa ninakubaliana na wewe, hasa yanayohusu Chato, lakini hayo ya maduka ya kubadilishia pesa Arusha, serikali kupitia Gavana wa Benki kuu aliyatolea maelezo vizuri Sana, Kama hukupata bahati ya kusikiliza bado unaweza kutafuta "video clips YouTube"

Mambo mengi unayoyasema ni shutuma ambazo hakuna uhusiano wowote na kuwapendelea wasukuma, hata Kama ni kweli (90% huna ushahidi), lakini hakuna uhusiano na ukabila, kwasababu huko Arusha pia Kuna wasukuma wenye hayo maduka ya kubadilishia pesa

Kwa ufupi mengi unavyosema ni maneno na shutuma ambazo kila rais aliyepo madarakani lazima atapakwa matope, Kama ambavyo Samia anavyopakwa matope kwamba anapeleka pesa nyingi Zanzibar, kwamba anaendeshwa na Kikwete, kwamba anatembea na vijana wadogo kimapenzi, wenye akili wanajua kwamba hizi ni shutuma ambazo nyingi hazina nguvu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuna madai mpaka leo kwa wale account zao zilifungwa hela zikachukuliwa na fedha hazijulikani zilienda wapi! Doto James mpwa wake katibu Mkuu Hazina main culprit!

BTW ukweli unabaki waathirika wengi wa maduka yale ni watu wa Kaskazini wadau wa utalii yaani wa makabila ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro!
 
Kwa kiasi kikubwa fedha za miradi ya maendeleo imekuwa ikifadhiliwa na grants na loans tangu zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…