Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilaza kwa ubora 😂 😂 😂 😂 😂 .., did u even understand what I posted? wewe ni wa vipicha I had forgetten.,😂😂😂😂😂., it's economics idiot😂😂😂.., mimi sihitaji unionyeshe vipicha vya Musoma, mimi niko na uwezo wa kuikagua Tanzania inside out na upside down, kila eneo, kote kote, I know your level poor thing, tafuta wenzako wenye akili finyu mjadiliane kule vijiweni..,
 
Hakuna mkenya anamkubali mchoma vifaranga, hio ni sympathy wanaonyesha kwa marehemu.
Magufuli hated kenya and anything Kenyan to the core. I remember his comments when we were on partial lock down. Man, his hatred towards Kenya was an open secret
 
Wewe kinachokuuma ni SSH Kuongeza mishahara,mimi nilalamike nn wakati nimeshapata % zangu, ooh waangalie uzalishaji blablah yani unathubutu kiniita mbinafsi alafu ww ni mchoyo na mnafiki kwenye hili suala
Kaka, unapaswa kuwafikiria watanzania 92% ambao sio waajiriwa serikalini, Japan kujifikiria ninyi tu, hivi hujisikii vibaya kuona kwamba 2% ya watanzania wanapewa 40% ya mapato ya nchi?.

Jambo Moja ninalokushauri ni kwamba, jitahidi kuwekeza katika biashara usitegemee Sana mshahara wa serikalini, serikali haina uwezo wa kutosheleza mahitaji yako, hiyo % uliyoongezewa haitoshi hata kujaza petrol kwenye gari lako kwa wiki mbili, Labda Kama huna "private car".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya tuliwacha kumkubali Magufuli alipoanza kuchoma vifaranga vyetu na kunadi ng'ombe zetu na kufunga border na kutatiza biashara kati ya nchi hizi mbili.
Sisi hatutaki kufanya biashara na ninyi, our biggest business partners are SADC members, ninyi mnalazimisha mashirikiano kwasababu "you have nor alternative in Africa"[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli ipo kisheria lakini Wakenya wengi hawakupendezwa na tukio hilo. Media zote za Kenya ziliiangazia hilo jambo.
Wakenya wa kawaida waliendelea kumpenda kutokana na kuwatetea wananchi wa kipato cha chini na tabia yake ya kutembea vijijini na kusikiliza matatizo ya watu wa chini na kuwatafutia ufumbunzi

Huo ni ushahidi tosha kwamba wakenya mpo na shida ya kiakili, vipi mnachukizwa na nchi jirani inapotekeleza Sheria zake bila kuingilia Mambo ya nchi yenu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hili lipo kisheria usichanganye madesa! Hata leo ukiingiza mifugo kiholela fine inakuhusu ukishindwa kulipa inapigwa mnada! Pia bila kupitishwa na watu wa veterinary incineration inahusu.
Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
 
Vipanya ni kama zile matt wanatumianga from Namanga to Arusha?
Hehehe. Nadhani wanaita all types of matatu vipanya isipokuwa buses. So mathree ndogo kabisa for example mololine shuttle na hata hizo minibuses zao wanaziita vipanya.
 
Hapa umenena ukweli game over. Lakini huyo mwizi Sabaya asiwachiliwe. Ingekuwa Uchina angekuwa ameshatiwa kitanzi. Lakini hapa Africa tulivyo wapuuzi, ushingae huyo Sabaya atawachiliwa na mwishowe kugombea urais na kushinda.
 
Magufuli hated kenya and anything Kenyan to the core. I remember his comments when we were on partial lock down. Man, his hatred towards Kenya was an open secret
Kenyans and Tanzanians hate each other since Nyerere and Jommo Kenyatta, don't try to blame Magufuli alone, we don't get along in anything

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
Mnapaswa kufuata Sheria za Nchi yenu hampaswi kusikiliza maneno, ndio sababu kila nchi inatengeneza Katiba yake ili viongozi wasiwe wanaotumia mapenzi Yao katika kuongoza nchi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Well informed and clear facts.
 
Hapa umenena ukweli game over. Lakini huyo mwizi Sabaya asiwachiliwe. Ingekuwa Uchina angekuwa ameshatiwa kitanzi. Lakini hapa Africa tulivyo wapuuzi, ushingae huyo Sabaya atawachiliwa na mwishowe kugombea urais na kushinda.
Kama ambavyo Uhuru na Rutto walivyotetewa na wakenya baada ya kuwachoma moto wakenya kanisani na kusababisha vifo vya zaidi ya wakenya 1300, baadae pesa za serikali zikatumika kuwahonga na kuwaua mashahidi ili wasiende kutoa ushahidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hivi uamuzi wa shamba kuwepo au kutokuwepo kwenye chanzo cha maji huamuliwa na NEMC au DC? JPM alikuwa mkabila aneyependelea Wasukuma wa Chato na victims wake wengi walikuwa watu wa Kaskazini. That's a fact can never be denied! Nilete evidence?

Moja alikuwa na mpango wa kumega ardhi ya Kagera Biharamulo na Kigoma kuileta Chato na kufanya Chato mkoa bila idhini ya wakazi wa sehemu hizo ila kwa matakwa ya watu wake wa Chato!

Pili alikwapua hela za uwanja wa Chato nje ya maadhimio ya Bunge kujengwa kijijini kwake badala ya makao makuu ya mkoa!

Tatu baada ya kulazimishia ziwa Burigi na ardhi inayolizunguka kuwa chini ya Burigi Chato NP alihakikisha inakuwa na gate Moja tu la Chato umbali km 82 na Mji wa. Biharamulo ambao upo km 16 akauzuia kufaidika na rasilimali za hifadhi.

Nne, aliilazimisha TANAPA kujenga hoteli ya nyota tano ya gharama ya Tshs 11 bln Chato akitulaghai ni nyota tatu. Mpaka leo haijakamilika. Kumbuka alipoingia 2015 alipiga marufuku ukamilishaji wa hoteli ya ghorofa 16 NSSF Mwanza.

Tano, Nyingine zaja...



-Ni mimi Mchagga wa Machame
Geza Ulole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…