joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
joto la jiwe njoo utuhubirie about your peaceful nation. You know every killing that happens in Kenya tukiwaambia there's worse in your country mnakana.
Unaweza kulinganisha na hii?joto la jiwe njoo utuhubirie about your peaceful nation. You know every killing that happens in Kenya tukiwaambia there's worse in your country mnakana.
Kama huo ni unyama uliokithiri, huu utasema ni unyama wa kiasi gani?Ni unyama uliokithiri. Alafu CCM wameanza kukamata journalists. Hakuna uhuru wa wanahabari Tanzania ndio maana watanzania wote hadi hapa jf hutazama TV station na habari za KenyaView attachment 2256950
Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.Unajua maana ya worse? Hao walitishia mishale Serikali wakati wanajua kuna Sheria ya Uhifadhi wanakiuka..
Wanatakiwa kunyooshwa mara moja Ili kukomesha upuuzi.
Hajafikia Sukumagang leader aliyesimamisha mradi wa kujenga chuo cha kilimo change kumbukumbu ya Mwl Nyerere Butiama 2015 ila kuenda kuanzisha utitiri wa vyuo Chato.Kuna uwezekano mkubwa mama Samia Suluhu pia ni mkabila, hawapendi watu wa kaskazini, anapendelea Zanzibar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wanajazwa ujinga na NGOs za Kunyaland na mabwanyenye wa Mifugo kwamba eti maeneo yao wanapewa Waarabu kwa hiyo wanadinda,sasa ngoja wapewe moto.Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.
Wasitupande mpaka kichwani
Wewe punguza mihemko. Kubali kwamba mumewafanyia Wamaasai unyama yaishe.Kama huo ni unyama uliokithiri, huu utasema ni unyama wa kiasi gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe nawe una akili kichwani au una muhogo kichwani?Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.
Wasitupande mpaka kichwani
Na wazanzibar wanapouliwa na ccm wakati wa uchaguzi huwa wanapambanaga hivyohivyo na serikali sasa hatutaki tena kusikia mkilialia kuwa tunawatesa .....na nilicho waambia wazenji kama mnayo akil8 basi jitaidini kipindi hichi mjitenge la sivyo sasa hoja zenu zote zitajulikana kuwa ni unafiki tu hakuna atakaye wahurumia siku samia akiondoka madarakani ...kipindi hicho mtalia na kusaga menoUnajua maana ya worse? Hao walitishia mishale Serikali wakati wanajua kuna Sheria ya Uhifadhi wanakiuka..
Wanatakiwa kunyooshwa mara moja Ili kukomesha upuuzi.
Na kizuri zaidi tarehe12 samia anaenda oman kwa waarabu kuripoti baada ya kuwavunjavunja wamasai'" watanzania wenzetu!!Wewe punguza mihemko. Kubali kwamba mumewafanyia Wamaasai unyama yaishe.
Na route ya Joberg tungeifufua na kuanzisha ya Cape Town pia. Maana SAA iko taabani sasa hivi.
Hii ng'ombe nimeiblock. Inaboo.Huyu ni mpumbavu tuu,Uganda ilihamisha watu wa Batwa kwa ajili ya Uhifadhi...
Kwamba Serikali iache maelfu ya Wamasai wanaozidi kuongezeka na kuharibu hifadhi Kisa tuu Kuna tumbili mmja anacheza siasa sio?
Ng'ombe ni mama yako ππ
Aisee CCM na mashabik wake ni wakatili mithili ya HitlerKama huo ni unyama uliokithiri, huu utasema ni unyama wa kiasi gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo accra ipo juu ya lagos [emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787] hiyo ni uongo uliotukuka kabisa4 AREAS: [emoji1427][emoji1427]
kisha watadai eti nairobaa is pachafu na 60%slums, nairobaa hakuna maji, nairobaa hakuna security, nairobaa hakuna food, nairobaa usafiri ni wasiwasi.. etc
View attachment 2256899 nb: nairobi is more friendly, exciting and full of enthusiasm than either cape town or lagos.![emoji15][emoji1433][emoji1433]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya maamuzi yako mbona km yamechelewa sana?
will this guy ever walk again realy.! hio spinal cord iko sawa kweli.??π€π€
View attachment 2256885
CCM wameanza kubana habari kuhusu loliondo genocide. Wanahabari wameanza kuwekwa ndani.joto la jiwe njoo utuhubirie about your peaceful nation. You know every killing that happens in Kenya tukiwaambia there's worse in your country mnakana.
Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongorohujanijibu swali na jubilee je ?? au sio hawa jubilee[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 2256955