Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oneni huyu bongolala, eti barabara moja...wakenya wenzangu nawaomba watu kama hawa tuwapuuze
So huoni road moja tu hapa, au wewe ni kipofu? Ambia Wakunya wenzio wote walete picha ya hapa yenye road nyingine zaidi ya hii expressway ya mchina [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli, inabidi tuanze kuqoute watu wanaojielewa. Mfano ile mbwa inaitwa chongchung whatever nishai ignore kitambo sana.

chongchung a.k.a Avtomat Kalashnikova AK47 kuja uwapelekee moto [emoji91][emoji91] hawa warembo washalegea huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Andamaneni mwaka mzima waandikieni barua wazungu wenu wawasaidie kuandamana pia.Ngorongoro sio Kenya
Na wakivuka mpaka wafyekwe,,Waziri wa Mambo ya Ndani amewataka watu wa uhamiaji kufanya Kazi kule Ngorongoro..

Walipofyekwa wamekimbilia kwao kutibiwa..

Waambie wake tena.
 
Ruble
 
Wapi walipo target kukusanya $2b kwa mwezi?

Kwani ukijiwekea estimates ndogo na kuzipita unaweza jipigia makofi?
 
Kama hiyo ni density na hii tuiteje [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2262278
Dar ni Mombasa exacty.., kwa density Dar na Mombasa ziko pamoja sana.., Mombasa covers a bigger area πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



Dar closer view..,

Kwa umbali inadhihirika Dar town ni kadogo kuliko Mombasa.,

Mombasa.., imebaki tu ghorofa tatu na BRT, then game over.., port, SGR, flyovers na interchanges with tunnel Mombasa iko nazo..,
 
Samahani kama nimekuumiza, next time nitapaka mate usiumie [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…