Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
ati na watu milioni nne wakikabiliwa njaa sio?Mbona liko wazi sana...., cc The best 007 π
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tupo nyuma ya Kenya kimaendeleo
View attachment 2278214
View attachment 2278215
Comments..,
View attachment 2278216
View attachment 2278217
View attachment 2278220
Licha ya challenges zetu mnaisoma number tu.,ati na watu milioni nne wakikabiliwa njaa sio?
Hio documentary ya BBC ilinihuzunisha sana. Nilitokwa na machozi. Yaani mateso ambayo watoto hao walemavu wanapitia ni makubwa sana.Kwa kweli kwenye hili la beggars ni aibu sana kwa nchi. Viongozi wetu wajitafakari sana.Dar waliondolewa wote, why Nai, ubalozi wetu huko haukujua hili jambo?
what other foods?π€£π€£π€£
Hapo unakuta maize ya ugali na beans r from Tanzania! sasa food nyingine ni yoghurt na sukumawiki!Ugali sukuma. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2278289
AtI Tony254 unaweza enda wiki bila ugali? Si rectal sphincters zita-jam?π€£π€£π€£
Wabongo wanaogopa Mercedes. π€£ π€£ π€£ The most reliable German car. Sidhani wanaogopa, shida ni majority hawafiki bei ya German cars. Nchi maskini hio.Mbona liko wazi sana...., cc The best 007 π
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tupo nyuma ya Kenya kimaendeleo
View attachment 2278214
View attachment 2278215
Comments..,
View attachment 2278216
View attachment 2278217
View attachment 2278220
Hapo unakuta maize ya ugali na beans r from Tanzania! sasa food nyingine ni yoghurt na sukumawiki!
Hakuna snow Kenya au tz isipokua juu ya mountain wacha kua low IQNa mashaka sana na wakunya ndio mlioiba hizo picha,Tanzania hatunaga ushamba huo,angalia hizo video ni biharamulo hiyo full snow kama norway
Kuna exceptionalities kama tukio la hiyo clip!Hakuna snow Kenya au tz isipokua juu ya mountain wacha kua low IQ
Acha tu ndg, kuna watu wamekalia viti vya kuzunguka ofisini, magari ya viyoyozi mwisho wa mwezi baridaa lakini kujua majukumu yao na wanaowafanya kuwepo hapo hawana habari kabisaa. Inasikitisha sana.Hio documentary ya BBC ilinihuzunisha sana. Nilitokwa na machozi. Yaani mateso ambayo watoto hao walemavu wanapitia ni makubwa sana.
Mbona zipo nyingi tu Bongo.Wabongo wanaogopa Mercedes. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] The most reliable German car. Sidhani wanaogopa, shida ni majority hawafiki bei ya German cars. Nchi maskini hio.
Hayo maharagwe mbona kama yamevunda. Unatusifia kilalo?Mkunya hawezi afford hiyo...huoni ni mazingira ya bongo hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]