Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu huko mnaenda mbali sana, just keep cool and come down my brothers. Hizi mambo huwa zinaibua hisia mchanganyiko kwa watu wengi hasa wanaotusoma.

Siwacommand ila nawaombeeni tuachane nazo, sisi sote ni wamoja Watanzania. [emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666]
 
Watu wa Arusha hutamani sana kuongea sheng kama watu Nairobi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

But hiyo sheng ya arusha inatokea ikiwa fake sana, ukitazama hii video unanotice tu...kiswahili cha Tanzania wanavuta sana kama maisha yao tuu.. hawana haraka haraka kama sheng
 
Ni kipindi fulani cha nyuma hii ndio ilikuwa kampeni ya hivi, watu kuumizana. Siku hizi haipo tena. Ustaarabu umeongezeka.

Hata nyinyi mwaka huu bila shaka mwaka huu mtavuka salama. Kampeni za mauaji kisa uchaguzi wa muda mfupi ni za kishamba.
Amen!
Wengine hapa maombi yao ni kuwe na vuruge
 
Umenena mkuu. Wasomi na Viongozi wetu wawe makini wanapoongea au kutweet mtandaoni maana wao ni kioo cha jamii,tunategemea kujifunza kutoka kwao, sasa kama wanakosea kuandika, kuongea je wanaonekanaje?

Tena Lugha wanayoikosea ni Kiswahili ambacho ni Lugha ya msingi hapa kwetu.

Kumakinika ni muhimu ili elimu na nafasi zao ziendane na uhalisia na kuondoa sintofahamu kwa watu kuanza kuhoji uhalali wa elimu zao.
 
Ni kipindi fulani cha nyuma hii ndio ilikuwa kampeni ya hivi, watu kuumizana. Siku hizi haipo tena. Ustaarabu umeongezeka.

Hata nyinyi mwaka huu bila shaka mwaka huu mtavuka salama. Kampeni za mauaji kisa uchaguzi wa muda mfupi ni za kishamba.
Siasa za chuki zinarejesha nyuma maendeleo.
 
Mimi nitamsema tu na siasa zake chafu! Sasa kazi kwenu, leo nimeambiwa Wachagga na Wahaya hawatakaa washike Urais! Wengine wanadai mimi Mzanzibari!
Haya maneno haya afya ya kutaja makabila. Rais atatoka kabila lolote ilimradi ni Mtanzania. Tuyapotezee haya ya ukabila mkuu.
 
Haya maneno haya afya ya kutaja makabila. Rais atatoka kabila lolote ilimradi ni Mtanzania. Tuyapotezee haya ya ukabila mkuu.
Kuna Sukumagang humu wanatumia jina la Nyerere kwenye kuhalalisha ukabila!
 
Hii nimeisikia kwako kwa mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…