Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It just boils down to bad governance coupled with corruption. Hayo makusanyo ya KRA mostly end up in private accounts
 
Hawa wabongo ni washamba sana. 🀣🀣🀣
 
NHIF inalipia PET CT scan zote whether ni private or public hakuna tofauti. We have 5 hospitals offering PET scan nyinyi mkona ngapi? kama si hio muhimbili pekee ambayo ina serve nchi mzima.

View attachment 2281355
Jambo la kwanza ninakuomba Kama huna uhakika na jambo Fulani, usijaribu kudanganya, huu ni utoto kuzungumzia vitu vya uongo, sipo hapa kupoteza muda.
1)Wakenya wenye bima ya Afya ni chini ya 20%, majority pay by cash from out of their pockets

2)PET scanner Kenya ni mbili tu, Moja ipo Agha Khan Hospital, na ule ya serikali ambayo imenunuliwa August 2021, kabla ya hapo serikali ya Kenya haikuwa nayo, ilikua ni Moja tu hapo Agha Khan.

3)Tafadhali Kama hujui mashine zinazotumika Hospitalini wacha kukurupuka, wewe ukiona neno CT scan unadhani vyote vina maanisha kitu kimoja

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Dr.Kituyi said" we want to make these surgeries regular" that alone indicates these are not regular in Kenya.

In Muhimbili, about 10 to 15 surgeries are done per day by resident doctors.

MTRH iko Eldoret na Mombasa pia wamekua wakifanya hizo open heart surgery since 2015.

wabongo muwache ushamba bana, ju mko nyuma haimaanishi Kenya iko nyuma.

Advantage ya Kenya, processing ya NHIF is very fast, just a day na umepata card. As you can see NHIF covers for PET Scan, so sijui unasema nadanganya nini.

Mkuu, umeandika kwa kirefu Sana, Mimi ninaomba nikujibu Kama ifuatavyo

1)Kukopa ni lazima na muhimu katika maendeleo ya mtu na nchi.

2)Hakuna rais duniani ambaye hajakopa, hata Nyerere alikopa Sana.

3)Pamoja na umuhimu wa mikopo ktk maisha, lakini mikopo sio mizuri, ukiweza kuishi bila mikopo ni Bora, ikishindikana, kopo kidogo, ukishindwa basi kopa Sana lakini ujue kwamba Hilo ni tatizo.

4) Nyerere, Mkapa na Magufuli, walikopa baada ya kuhakikisha kwamba huku Nyumbani hakuna tena uwezo wa kupata pesa. Mwinyi, Kikwete na Samia, wanakopa kwanza ndio baadae wanaangalia kinachopatikana Nyumbani.

Conclusion; Mkopo lazima ujazie pengo la uwezo wa ndani, sio uwezo wa ndani ndio ujazie pengo liloachwa na mikopo ya nje.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
MTRH iko Eldoret na Mombasa pia wamekua wakifanya hizo open heart surgery since 2015.

wabongo muwache ushamba bana, ju mko nyuma haimaanishi Kenya iko nyuma.

Tofauti huko kwenu mnafanya lakini sio "regular", hamna capacity. lLazima doctors watoke hospital Moja kwenda huko kunakofanyika hizo operations.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Advantage ya Kenya, processing ya NHIF is very fast, just a day na umepata card. As you can see NHIF covers for PET Scan, so sijui unasema nadanganya nini.

Why then only 20% are covered?, stop blah,,blah,, and face reality, hiyo bima ya Afya haisaidii wakenya kwasababu wengi hawana bima ya afya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Kenya hakuna bidhaa yoyote muhimu mnayotuletea zaidi ya sabuni na mafuta ya kupakaa mwilini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimesema PET Scan usiwe mjinga, CT Scan hizo tunazo hadi kwa level 4 hospitals. Sasa niambie mkenya mgani anakuja bongo kufanya PET scan. In fact wabongo ndio munakuja Kenya kufanyiwa PET Scan ju line pale muhimbili at ''one facility'' sio mchezo. 🀣🀣🀣

Why then only 20% are covered?, stop blah,,blah,, and face reality, hiyo bima ya Afya haisaidii wakenya kwasababu wengi hawana bima ya afya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulianza na open heart surgeries tukakutandinka, ukarukia PET Scan tukakupiga kama mbwa, sasa umetorokea health cover. 🀣🀣🀣 Kesho pia ni siku.
 
Wewe unaandika utopolo hapa. Magu alianzisha miradi mingi bila kujali pesa itatoka wapi. Sasa usimlaumu mama kwa kukopa. Kama unatafuta mtu wa kumlaumu kwa sababu ya deni kuongezeka basi mlaumu Magufuli kwa kuanzisha miradi mingi bila kuongeza makusanyo ya kodi. Ulikuwa unategemea pesa ianguke kutoka mbinguni? Lazima mama atakopa tu mpende msipende. La sivyo miradi za Magu itabidi zikwame.
 
What a flimsy excuse!
Hivi, nyinyi ambao hamjui kufanya shoddy work zile vibanda zenu za uswazi si nazo mzipake angalau rangi kwenye bati ziwache kuchakaa?
Unazilinganisha na whole mabati shacks polluted your whole villages? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Zike mud huts zenu je zilizotapakaa mpaka CBD?
 
Kabla ya Nyerere, Tanganyika ilikua inatambulika kwa makabila yake, provinces zilikua zinatambulika kimakabila

Mfano hivi!

tayari tena 🀣🀣🀣🀣
Hivi daraja la Nyerere Kigamboni lina miaka zaidi ya 6 na hutowahi kusikia hata toll station imekwanguliwa rangi na bumper, lakini huku kwa vichaa sasa! Mpaka wafanyakazi kwenye hivyo vibooths/kiosk watakimbia kazi sababu ni kuhatarisha maisha yao kukaa humo ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…