Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
waweke speed limits cameras! mtu akiingie anatoka na bill yake! Haki ya Mungu na deni la Mchina mtalipa mapemaa! Kama huyu mnamgonga $50 for first offence, then $100 for the second then $200 for the third before 6 months jail sentence!Hawa ni watu wanajitakia kifo wala usisumbuke nao. But the long arm of the law will just catch up with such reckless drivers
editedTurhojet ndo nini?
Vitu vingine ni aibu sana.
Wacha wivu bongolala. That hospital was constructed and is owned by the Nakuru County GovernmentHalafu unakiita hiki kihostipatali a public hospital kumbe ni private business ya Mzungu πππ
Speed limit cameras is a noble idea that they should consider by now. Such people not only risk their lives but other drivers' lives as well. Time to put an end to itwaweke speed limits cameras! mtu akiingie anatoka na bill yake! Haki ya Mungu na deni la Mchina mtalipa mapemaa! Kama huyu mnamgonga $50 for first offence, then $100 for the second then $200 for the third before 6 months jail sentence!
[emoji16][emoji16] sehemu ya jeshiAngalia kuna ka-boat hakazidi 3 floors tayari kamefika kwa ceiling!
fanya research kisha uturejeshee mrejesho hapa mtu wa kwanza kuzungumza hayo maneno ni nani,anatokea wapi,ni lini aligundua,anamiaka mingapi,udini gani,kabila gani ?Do you need to do research on such a thing?
Sioni mtanzania wa kawaida akiacha ustaarabu wa kuendesha gari lake binafsi akapande BRT na huu msongamano. I personally would not. Only in communist state ambako watu unalazimishwa. Expressway ya Kenya ina ustaarabu wa kutumia gari lako personal kila wakati unataka na bado basi na matatu zikitaka kupita express kama BRT bado zinaweza lipia na kupita. Kenya killed 2 birds with one stone building the Nairobi expresswayDar haina expressway kwasababu tunamradi wa BRT ambao utapunguza foleni indirect kwa kuwavutia wenye magari binafsi kuutumia,pia daladala zipungue kwenye main roads zinazoingia na kutoka katikati ya jiji,Pia tunajenga flyovers kwenye intersections ambazo zinachangamoto ya foleni...Tatu tunakamilisha SGR ili kupunguza ulazima kwa malori yanayotoka bandarini kupeleka mizigo mikoani kwa kutumia njia ya barabara pekee yake...
Kwahiyo mnaamua kuwapiga miti wasichana wadogo badala ya kuwalinda kwasababu mnawaruhusu kuendelea na masomo?. Are you not stupid?And we don't lock them out of school like some shithole country I know
Masai wenyu mbona hawaji kulisha ng'ombe huku?Amboseli National Park π View attachment 2282721
Sasa mbona mmekipokea mpaka Ikulu. Yaani hadi UK akubali na kupokea chakula cha msaada wewe nani usipokee na kula hicho chakula?Sitegemei chakula cha msaada bongolala wala hakuna generation yangu imewahitegemea hicho chakula
Abandoned? ππππ
Is that how you call vichaka za Dar? Kwa hivyo hizo viwanja hazina wamiliki au argument yako ni nini haswa?
Wewe unafikiri watu wa Northern Kenya wakipokea chakula basi kila mtu ni hivyo? Kwetu hakuna ukame bongolala wala hakujawahitokea balaa Ia njaa. Hilo ni neno geni kwetuSasa mbona mmekipokea mpaka Ikulu. Yaani hadi UK akubali na kupokea chakula cha msaada wewe nani usipokee na kula hicho chakula?
You spewed rubbish here.Sioni mtanzania wa kawaida akiacha ustaarabu wa kuendesha gari lake binafsi akapande BRT na huu msongamano. I personally would not. Only in communist state ambako watu unalazimishwa. Expressway ya Kenya ina ustaarabu wa kutumia gari lako personal kila wakati unataka na bado basi na matatu zikitaka kupita express kama BRT bado zinaweza lipia na kupita. Kenya killed 2 birds with one stone building the Nairobi expressway
View attachment 2282715
View attachment 2282720
Alafu SGR ya tanzania haingii port kwa hiyo hakuna kupakia mzigo direct kutoka kwa meli hadi >>> SGR train hadi >> dry port kama Kenya. Kwa hiyo hakuna foleni ya malori SGR ya Tanzania inatoa kwa barabara sababu bado malori yatabeba mzigo kutoka dar port hadi pugu dry port 100km away from dar-is-a-slum
View attachment 2282719