The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Hata TC pia tickets zinapatikana online na hata boarding pass pia zinapatikana online, hii ya Guanzhou huenda ni mpango mkakati huwezi juwa mana Tanzanians are very smarter nadhani unajua hilo.Halafu upuuzi wa kusema tickets are available at ATCL Head Office only imenishangaza sana wakati Emirates na airlines nyingi unabook online na kulipa online na kupata ticket online. Kwanza emirates inakutumia hio boarding pass kwa email. Yaani bado mnafanya mambo kizamani eti lazima mtu aende mwenyewe kwa ofisi yao ili apate ticket?
Halafu kwa nini ticket zipatikane head office tu ? Online booking inabidi iwekewe mkazo kwa mfano mtu anatoka Zambia anataka kuunga ndege hapa hadi haende head office? Mhhh watu wa masoko wa ATCL inabidi wawaze beyond macho yao yanapoishiaDu hizi nauli ni noma
Nakuambia online ticketing ipo mbona hunielewi mkuu, isipokuwa hiyo ya Guanzhou nami pia nmeshangaa sana sijajua mpango wao upoje.Halafu kwa nini ticket zipatikane head office tu ? Online booking inabidi iwekewe mkazo kwa mfano mtu anatoka Zambia anataka kuunga ndege hapa hadi haende head office? Mhhh watu wa masoko wa ATCL inabidi wawaze beyond macho yao yanapoishia
Wanaweka ticket price ya kipuuzi na kinyonyaji hivyo kwa sababu hawana competition. Kwa sababu bado nina account kule emirates nimeingia na kusearch Dar es Salaam mpaka Guangzhou ikanieleza kwamba Emirates haipigi hio route.Kinachonishangaza zaidi ni inakuaje TC wanagharama kubwa lkn wanajaza abiria yn sielewi inakuaje aiseee.
Hapa napo pana neno pana mkuu [emoji4]Kinachonishangaza zaidi ni inakuaje TC wanagharama kubwa lkn wanajaza abiria yn sielewi inakuaje aiseee.
Yah nami pia niliingia ili nifanye comparison nikaona hawana hyo route.Wanaweka fair ya kipuuzi na kinyonyaji hivyo kwa sababu hawana competition. Kwa sababu bado nina account kule emirates nimeingia na kusearch Dar es Salaam mpaka Guangzhou ikanieleza kwamba Emirates haipigi hio route.
View attachment 2283409
Kuliko nyinyi mnavyoabudu wazungu . Yaani mkenya akiona mzungu sijui anamuona kama saints halafu akiongea kingereza ndio kama kafika peponi . Yaani mna slave mentality kubwa sana . Bora hata mbongo ukileta ujuaji hata ukiwa nani majority wabongo wanakupotezea ndio maana black american wengi wanaondoka kwa sababu ya ujuaji mwingiUlicho kiandika ndo kile wazungu wanakiita ' slave mentality'. Nyinyi mnawaona watz, wao wanawaona watumwa wao. Tanzania kuna historia ndefu sana ya utumwa kuliko nchi zote Afrika na waarabu wamefanikiwa kuwageuza nchi nzima kua colony yao mpaka ikulu inafanana na Masjid. Samia suluhu mwenyewe kasema wajomba zake bado wanaishi kwa watumwa oman.
Mimi nataka muwache kuwa milikisha uchumi na dada zenu kwao.Bado unaendeleza hisia za kikabila ulizozaliwa nazo, sio sisi tunawaona Watz bali ni Watz waliozaliwa Tz unataka niwaone sio Watz wakati wamezaliwa Tz we fala nn, unataka mm nifanyeje, nimpeleke Dubai wakati kazaliwa Tz? Peleka ukabila wako kwa mama ngina tafadhali.
Mtu anapambana kimpango wake wewe na ukabila wako unataka apokonywe alafu apewe nani? Au upewe wewe uliyezubaa zubaa ukitosheka na tumia mbili mia tatu unatopata?Mimi nataka muwache kuwa milikisha uchumi na dada zenu kwao.
Maanisha hiyo ya China unafikiri kwa watanzania peke kila kila jumapili unaweza pata abiria 200+ . Yaani inabidi wafanye JNIA kama gateway ya kwenda huko Asia kwa majirani zetu haswa kwa wasio na direct flight . Pia itawasaidia kuongeza biashara za hotel na nyingine indirect kama wanavyofanya EthiopiaNakuambia online ticketing ipo mbona hunielewi mkuu, isipokuwa hiyo ya Guanzhou nami pia nmeshangaa sana sijajua mpango wao upoje.
Hizi fare naona ni kote ziko juu maana nimejaribu kutafuta flight ya Dar to Guanzhou kupitia Qatar Airways majibu hayo hapo chini [emoji116]Kinachonishangaza zaidi ni inakuaje TC wanagharama kubwa lkn wanajaza abiria yn sielewi inakuaje aiseee.
Mtu anapambana kimpango wake wewe na ukabila wako unataka apokonywe alafu apewe nani? Au upewe wewe uliyezubaa zubaa ukitosheka na tumia mbili mia tatu unatopata?
Inashangaza sana kuona mkunya anamwambia mbongo anaabudu wazungu na waarabu wakati asilimia kubwa ya Wakunya humu walipogundua kwamba Ichoboy ni mtz mwenye asili ya kiarabu basi wakaogopa sn na wakaanza kumshobokea, ni vile jamaa hana shobo na sio mtu wa kuwapelekea moto wanaume wenzake ila angekuwa bedui angewapelekea moto Wakunya wengi humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko nyinyi mnavyoabudu wazungu . Yaani mkenya akiona mzungu sijui anamuona kama saints halafu akiongea kingereza ndio kama kafika peponi . Yaani mna slave mentality kubwa sana . Bora hata mbongo ukileta ujuaji hata ukiwa nani majority wabongo wanakupotezea ndio maana black american wengi wanaondoka kwa sababu ya ujuaji mwingi
Yah hapo wamezingua, ila ngoja tuone.Maanisha hiyo ya China unafikiri kwa watanzania peke kila kila jumapili unaweza pata abiria 200+ . Yaani inabidi wafanye JNIA kama gateway ya kwenda huko Asia kwa majirani zetu haswa kwa wasio na direct flight . Pia itawasaidia kuongeza biashara za hotel na nyingine indirect kama wanavyofanya Ethiopia
Nimeshangaa sana. Hio nauli ya $4,800 imetosha mtu kuagiza Toyota mpya kutoka Japan.Hizi ni habari za kweli au wamedukuliwa?
Mbona kubwa sana hivyo nani atapanda?
Du hizi nauli ni noma
Noma mzee.Hizi fare naona ni kote ziko juu maana nimejaribu kutafuta flight ya Dar to Guanzhou kupitia Qatar Airways majibu hayo hapo chini [emoji116]
Inaelekea demand ni kubwa sana baada ya recent lock down.View attachment 2283414
coodip1 amepost fares za QR ni humo humo kama za TC.Wanaweka ticket price ya kipuuzi na kinyonyaji hivyo kwa sababu hawana competition. Kwa sababu bado nina account kule emirates nimeingia na kusearch Dar es Salaam mpaka Guangzhou ikanieleza kwamba Emirates haipigi hio route.
View attachment 2283409
Kwani ET na KQ nauli zao ziko vp?Du hizi nauli ni noma
Huku ninako tokea watu kama hao tunawaita waarabu koko ama mbwa koko, ukiwafatilia vizuri utakuta wana nyanya mweusi ambao wamewaficha na hawajivunii asili yao. Lakini ukija tz sasa hao ndo the richest class wakati kenya kazi yao ni kula mirungi na kahawa.Inashangaza sana kuona mkunya anamwambia mbongo anaabudu wazungu na waarabu wakati asilimia kubwa ya Wakunya humu walipogundua kwamba Ichoboy ni mtz mwenye asili ya kiarabu basi wakaogopa sn na wakaanza kumshobokea, ni vile jamaa hana shobo na sio mtu wa kuwapelekea moto wanaume wenzake ila angekuwa bedui angewapelekea moto Wakunya wengi humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]